Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nilileta hapa jukwaani Uzi wa siku za hatari za mke wangu. Kitu kinachonikanganya ni mzunguko wake, manake mwezi December hakuingia kabisa katika ada yake. Mwezi November...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Salaam kwenu wana jamvi! Nina swali moja natafuta majibu yake kwenu naomba msaada hapa; Ninavyojua Mwanamke akipata mimba hupata kichefuchefu na kutapika hasa ndani ya miezi mitatu ya mwanzo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Nilikuwa na binti mmoja ambaye ni X wngu kwa sasa, Binti huyo tulikutana chuo akiwa mwaka wa pili na mimi nikiwa mwaka wa kwanza. Nilimpenda na kumtongoza hatimaye tukakubaliana na kuwa kwenye...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Asilimia ya watu wengi sana Dar wanaumwa mafua,kichwa dalili kama za homa viungo vya mwili kuuma kwa pamoja kiuno,mgongo macho,mwili kuishiwa nguvu kama yupo mwenye ufahamu wa ili jambo ebu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa mazoezi mbalimbali mfano kukimbia yanaweza kukufanya mwenye furaha na ujisikie vizuri. Walau saa moja ya mazoezi kila wiki inatosha kukuweka mwenye afya...
1 Reactions
3 Replies
968 Views
Website imemalizika kutengenezwa ataehitaji tunaibalisha kwenda domain name anayoitaka na kuongeza vitu atakavohitaji. Inafaa kwa hospital au daktari binafsi anaehitaji kuwa na tovuti binafsi. kwa...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Habari zenu wakuu, Mimi huwa ninatatizo la malaria kujirudia rudia kila baada ya miezi miwili au mitatu natumia dawa lakini baada ya miezi mitatu inarudi tena alafu huwa inaambatana na kikohozi...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
Habarini wana jukwaa?Nina mdogo wangu wa miaka 18 ana tatizo la uoni hafifu na usikivu hafifu,amekua akitumia miwani toka akiwa na miaka 14 baada ya ushauri wa daktari lakini hivi karibuni hali...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba kupata ushauri/tiba kuhusu tatzo la Pumu ya ngozi (ECZEMA)
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Kuacha kazi na mambo ya ofisi ofisini. Ikiwa utakuwa nyumbani ni vyema kushiriki na familia kazi za nyumbani & michezo. Kulingana na @CDCgov kati ya 26% hadi 40% ya wafanyakazi wanadai kazi ndio...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Enzi hizo za ujana nakumbuka tukio moja lililonikuta huko kwetu nyumbani kijijini mpaka leo najiuliza na hapa nawauliza ninyi wajuvi wa mambo kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya jicho na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Waungwana huu ugonjwa sio mchezo kwa watu wazima, tuende kupima na wala msiogope kupima ni damu tu inachukuliwa na sio yale mambo ya vidole.... ukiwahi matibabu ni bira zaidi Nyuzi kama hizi...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari awali ya wote nimshukuru mwenyezi mungu kwani bila yeye hakuna jambo linakuwa Jamani kichwa changu kina mikunjo je inasababishwa na nn na je kuna tiba yeyote? Mikunjo ipo kwenye ngozi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Naomba kueleweshwa ni vyakula gani ambavyo nikila vitasaidia kuongeza maziwa Ninamtoto wa miezi miwili na wiki moja, maziwa yangu yanatoka kidogo sana hivyo naona kama hayatoshi na mtoto hashibi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, Wakuu Naombeni Masaada mwanangu anasumbuliwa na mafua kwa muda mrefu ,ana umri wa miezi 3 nimejaribu Dawa nazo elekezwa lakini Bado ,Watu wanasema labda alikunywa maji...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Kama kichwa kinavyosema, nina rafiki yangu anasumbuliwa sana na nyonga takriban miezi 6 sasa. Ameshafanya vipimo vyote vya kidactari lakini tatizo halionekani, dawa nahisi...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Leo nimeambatanisha Karatasi inayothibitisha kuwa AZUMA ni dawa ya VVU/UKIMWI, karatasi hii nimeitoa moja kwa moja ndani ya dawa ya AZUMA(Azithromycin) na mahali nilipopigia mistari ndio kuna...
4 Reactions
59 Replies
60K Views
Back
Top Bottom