Habari za humu mabibi na mwabwana!!Ni muda mrefu nina tatizo la kichwa!!Nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele kuna hali isiyokuwa ya kawaida naisikia kichwani mwangu!!'Kelele za magari' !Kichwa...
Bwana Yesu asifiwe sana wapendwa.
Naomba kufahamishwa ukweli wa hili. Hivi ni kweli mama mjamzito hupoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa? Kama ni kweli sababu zake ni zipi?
Je kuna madhara...
Kuna aina mbili za Stroke/kiharusi.
Ischaemic Stroke...hii hutokana na damu kuvia/kuganda kweye mishipa inayopeleka damu kwenye Ubongo/formation of clots
Haemorrhagic stroke...hii hutokana na...
Sijui huwa nina shida gani yaani jua likiwaka ni kama huwa linaenda kuwasha papuchi linaniletea msisimuko wa mwili vibaya mno ni ugonjwa ama ni nini jamani kipindi cha jua saa nane hadi kumi na...
Habari enyi wana jf
Kuna rafiki yangu ambaye ni kijana (ME) mwenye umri wa above 25 age, huwa ikitokea kapatwa na homa mara nyingi pia lazima maeneo ya tumbo huwa anahis kama kuna uzito flani...
simple
1.usilale mchana
2.usile vitu vizito saa moja kabla ya kulala
3.dakika 5 kabla ya kulala gugumia glass 2 za maji
enjoy you sleep hii imeniponya kabisa
NB:mwili hutii sayansi
Msaada jamani jinsi ya kutibu mpangilio mbaya wa meno ana miaka almost 20-25 je inawezekana gharama zake ni vipi ? mwenye utaalamu inafanyikaje
Ahsante
Aman iwe nanyi
Kwanini kila nikiona wana wake wenye makalio makubwa moyo wangu huenda mbio sana
Je nitakuwa naumwa ugonjwa wa moyo? Au nitakuwa naumwa kitu gan
Naomben msaada wenu wa...
Shikamoni wakubwa,
Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa...
Wasalaam ndugu,
Naamini niko na afya njema kabisa.
Ngoja nianze hivi, ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabisa mwilini.
Mwanzo niliona kawaida ila...
Wadau.
Utafiti uliofanywa na Idara ya magonjwa ya moyo barani Ulaya umeonyesha kuwa wanaume wenye vipara na walio na nywele za rangi ya kijivu wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata maradhi...
Jigiasis/funza ni ugonjwa unaotoka na mdudu Funza pale anapoingia kwenye maeneo ya mwili wa binadamu hasa miguuni asilimia kubwa hutokan na mazingira ya vumbi na pia uchafu.
Dalili zake...
Kama heading inavojieleza, mwenza wangu alianza Mp tarehe 20/11/2017 alfajiri sasa nahitaji nizae mtoto wa kiume.
Kiufupi tangu atoke mp natumia kondom kama contraceptive method. Wataalam...
Wakuu ni muda sasa kama miaka miwili natokwa mkojo wa njano nikitumia maji mengi hali hiyo hupotea na pindi naporudia kupinga punyeto hali hiyo hujirudia
Maswal
(1) ni nini madhara ya...
Ngiri nyingine ni ya Mshipa wa Kushuka ni hii hapa Mabusha kwa lugha ya kiswahilBusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu.
Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka...
Wapendwa habari zenu.
Tafadhali naomba mnisaidie kupata Dawa ya meno aina ya Close Up hii ni dawa ya meno ambayo nimekuwa nikitumia kwa muda mrefu sana hadi sasa hata hivyo upatikanaji wake kwa...
Habari vijana.
Leo nakuja na mada nyengine inayovutia ambayo tutazungumza kuhusu JINAMIZI .
Watu wengi wanaamini ya kwamba jinamizi ni jini ama mzimu usionekana unaosumbua watu wakati wapo katika...
Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story...
Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.