Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika...
22 Reactions
304 Replies
50K Views
Wanabodi,nimepata maumivu makali ya kiuno juzi kuamkia jana,nimemez dawa ya maumivi,maumivu hayajaisha. Msaada wenu nauhitaji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari. Ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu members napenda kufàhamu kama kuna madhara kwa mtoto anayependa sana kula vitunguu maji na swaumu au kama ana upungufu wa vitamin naomba kuwasilisha!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wataalamu naomba mnisaidie je inawezekana mwanamke kupata mimba wakati ameweka kichuma mkononi like cha kuzuia mimba cha miaka mitano?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu kali sana wakikujeruhi.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba msaada wanaJF, Mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu. Imefikia mpaka naonekana kama mvuta bangi. Je, naweza kutumia dawa gani ili yaweze kuwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi kadhaa. Anatokewa na vipele vidogo vidogo halafu vigumu. Nimejarbu kumpleka hospitali zaidi ya 3 napewa dawa ya kupaka lakini sioni matumaini. Kwa wanaojua...
0 Reactions
22 Replies
37K Views
Habari wakuu.. Ni hivi... Kuna dawa ya kupunguza acid inayotoka kwenye uke ambayo ikizidi huweza kuuwa sperms za mwanaume na kusababisha tatizo la kuto shika mimba? Zipi?
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu habari za mihangaiko? Hope mko poa. Masaada wa dawa ya kuweza kutaka kichefuchefu kwa mama mjamzito. Msaada pls
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Nimesikia eti 'kumwaga shahawa (ejaculate) kwa mwanaume mara kwa mara kunasaidia kupunguza uwezekano wa kupata tezi dume! Je, ni kweli wataalam?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna hii Boric Acid au Diatomaceous Earth...naeza zipata maduka ya madawa ya kawaida au maduka ya dawa za kilimo?
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Tafadhali, mtoto wangu tena wa kike meno yake yameota bila mpangilio na ni meno ya mbele (ya chini). kama kuna mtu anajua wapi naweza kumwekea braces kwa hapa tz kwa dsm au mikoani, na kama kuna...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari wana JF, Kwa sisi tunaopenda kufanya mazoezi muda huu tumeshaacha kitanda na kuanza ku burn calories. Naomba kujuwa ni mazoezi ya namna gani yanaweza kuondoa fat belt kwa haraka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
0 Reactions
61 Replies
11K Views
kumekuwa na hali ya mtu kuota vijinyama sehemu mbalimbali za mwili, kwa mfano dada zetu wakiota usoni wanaita kidoti! je ukiota sehemu nyingine ya mwili ni nini? je ni ugonjwa? na kama ni ugonjwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unywaji wa kahawa kiasi ni salama , na vikombe vitatu kwa siku vya kahawa vinaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya , kulinga na utafiti uliofanywa na BMJ. Utafiti huo ulibaini kuwa unywaji wa...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Wadau Kwa mujibu wa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti ya Karolinska Stockholm nchini Sweden Wanaume wasiokula sana Samaki wenye mafuta wanauwezekano mkubwa sana wa kupata Kansa ya kibofu Mara...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
8 Reactions
80 Replies
26K Views
Back
Top Bottom