Kwanza kabisa nitangulize Shukrani zangu za dhati kabisa kwa Uongozi wa JamiiForums na hasa Moderators wake kwa ' kuninyoosha ' kwa kunipiga BAN ya ' Kutukuka ' ya siku Gwala / Tano ambazo...
Nina mgonjwa wangu ambaye juzijuzi ndiyo imegundulika kuwa ana Upungufu wa Kinga pia Ana TB.Hospital ya kwanza waligundua kuwa ana Upungufu wa Kinga Na wakamuanzishia dawa katika Clinic yao.Baada...
Msaada wenu tafadhali, nina vipele flan vidogo vinauma sana haviwash ila km vna usah kwa ndan na kama vina kidog cheus kidogo katkat(chek kwa attachment)... Vinajitokeza sana sehem za mapajani(kwa...
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali ulaji Samaki aina ya Sato kwa wingi unaongeza uwezo wa brain kufanya kazi.
Aidha hata mama mjamzito akitumia samaki hao kwa wingi hasa vichwa vyake kabla na...
Hivi kwa nini wanawake wakiwa wajawazito huwa wakorofi sana. Maana uvumilivu inaweza shindikana.
Wanaume nipeni nasaha mlivumiliaje masumbufu hayo maana sio kwa vitimbi hivi
Unaweza hama nyumba
Habari wanajukwaa
Kuna bwana kaomba nimuulizie swali hapa ndani, issue ipo hivi jamaa kashiriki mapenzi na mtu wake siku ya jumapili tarehe 11.11.2017 na leo tarehe 22.11.2017 kaletewa taarifa ya...
Wakuu poleni na majukumu...naombeni msaada huyu dogo kaenda hospital lakn dawa alizopewa hazijamsaidia hali bado inaongezeka kwa kas...msaada tafadhari
Jamani wako watu wanaodhani makamasi ni kitu kibaya na kichafu kiasi cha kujisikia kinyaa.
Kamasi (mucus) linapatikana puani kwenye mfumo wa hewa. Hata kohozi ni kamasi pia la kooni.
Pua na koo...
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
Habari wana Jf, leo mida ya saa kumi jioni nipata home kali, baridi kali na joto la mwili kupanda. Nikarudi nyumbani kupumzika lakini hali ilizidi kuwa mbaya nikalala kidogo. Baada ya muda ile...
Kwa wale wanaofahamu vyuo vizuri vya binafsi vya afya vinavyotoa coz ya upgrading ya clinical assistant to clinical officer ambavyo pia vina hospitali kabisa kubwa mfano .
mvumi cots, au nkinga...
Habari ya wakati huu wanajamvi
Naomba kujua chanzo cha kupata mvi kwa kijana (25-30 years) na pia jinsi gani ya kuondokana na tatizo hili
Naomba kuwasilisha
Ee
Wadau habari zenu! naomba kuuliza kwa wanawake wenzangu na wataalamu, wakuu humu ndani, yapi madhara mwanamke mjamzito anaweza kupata kama atakaa katika kipindi chote (yaani miezi tisa) kama...
Habari wana Jf
Mimi ni kijana wa miaka 27. Nimepata tatizo la kutokwa nywele kichwani. Yani nikiosha nywele zinatoka nyingi halafu nabaki na kipara. Nimefatilia nikajua hili tatizo linaitwa...
Ni ugonjwa ambao pia huambukiza binadamu na mifugo,mbaya zaidi kwa wanyama na ngombe hasa wakati wa uzazi.maambukizi hutokana na binadamu au mnyama kugusa ,kula masalia ambayo yanatoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.