Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo...
Kuna mtu wadau anaomba ushauri maziwa ya mpenzi wake yamekuwa yameteepeta(sijui kama hiki ni kiswahili kizuri) anataka yawe magumu magumu sasa yeye katika pita pita akakutana na hii njia ya...
Madaktari na wataalamu wa afya karibuni kwenye uzi huu,
Nimekuwa nikipata shauku na kutokuelewa kuhisu hiki kitu,ni kweli inawezekana mwanamke akapata mimba baada ya siku ya urutubishaji,,na...
Jamani naomba msaada,wife wangu amekuwa na tatizo la mimba kuaribika, zisha aribika mimba mbili, sasa ana ujauzito mwingine wa miezi mitano, juzi ghafla kaaza kuona period japo damu sio nyingi...
Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una...
Salaamu wana JF wote.
Jamani naombeni mnifahamishe... kwa hapa Dar, ni sehemu gani kuna maabara ya kuaminika for health check up. Namaanisha kufanya vipimo mbali mbali vya kimaabara... mfano...
Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin...
Nina mwanangu ana umri wa miezi 13 sasa lakini tatizo lake hataki kula chochote isipokuwa anataka kunyonya tu kwa mama, sasa nifanyeje huyu dogo apate kula walau kidogo?
Habari zenu wakina dada wa Jf.
Hebu naombeni uzoefu wenu,hivi inachukua muda gani damu kuacha kutoka kwa msichana aliyevunjwa bikira?
Msaada tafadhali!
Habari zenu wanajukwaa nimekua na tatizo la kuona mbali kwa muda mrefu sana,tatizo lililopelekea nitumie miwani ya macho kama kisaidizi cha kuniwezesha kuona vizuri.
Nalichukia hili tatizo maana...
Ndug wana jamii forum,kumekuwa na taarifa ya kuhusu doctor shika kwamba Ni msomi (doctor) ,MTU huyu Kwa historian angewwza kutusaidia Kwa mambo mengi sana, MTU huyu alisomeswa Kwa pesa za...
Habar zenu wapendwa. Mimi ni mwanafunzi wa md. Naomba msaada wenu kwa yeyote yule anaefaham duka au mtaa ambpo naweza kupata icho ktabu kwa hapa dar.
Karibun
Habari wakuu kwanza niwashukuru kwa kazi kubwa mnayofanya kusaidia wenye uhitaji kwa kuwapa ushauri wa kitabibu shida yangu kwa leo ni kwamba nina mdogo wangu anasumbuliwa na tatizo ambalo kwa...
Hello doctors
Nitakua na tatizo gani me coz nowdays nakula chakula but sishibi yani nimejikuta mda wote nakulakula tu then nikikaa kidogo njaa,shida itakua ni nn?
Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu...
Mimi nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi takriban wiki ya pili sasa nimetumia pain killers za kutosha ila napata nafuu ya muda mfupi tu tatizo linarud
Ni upande wa kulia chini ya mbavu had karb na...
Za weekend wana jf? naomba niingie kwenye lengo la uzi moja kwa moja...
Iko ivi kuna mwanamke ni jirani yangu na ni mke wa mtu,ni mama wa mtoto mmoja anaenyonya,sasa katika mishemishe za ndoa...
Habari.
Mimi huwa nafanya jogging ambapo huwa natumia saa moja
au mawili. Huwa ninaumwa na kichwa baada ya mazoezi (siyo mara tu nimalizapo), nikiwa nimepumzika.
Tatizo ni nini, na je itaniletea...
Salaam wana jukwaa
Naombeni msaada sana juu ya hili tatizo langu
Nimekua na tatizo la kusumbuliwa na uchafu kwenye mkojo wenyewe wanaita UTI
Ni muda sasa linapungua linaongezeka tena natumia...
Nikiwa Mtanzania mwenye mawazo chanya niliye oanisha mapungufu ya kinga ya kondom dhidi ya virusi vya ukimwi,leo hii natoa maoni yangu juu ya uzuiaji wa usambaaji wa virusi vya ukimwi.
Ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.