Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari waanajamvi mdogo wangu wa kike (23) anasumbuliwa na maumivu upande wa kulia wa ovary ,na anableed mnoo na kubleed huko sio katika zile siku zake za hedhi baada ya kufanyiwa ultra...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Huwa najiuliza, hzi dawa km panadol, antibiotics zote, syrups n.k huwa zinatengenezwa na chemicals ? Km ni chemicals , raw materials zake huwa wana import toka wapi?? Na km ni raw materials huwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naumbuka mwenzenu hivi dawa gani itaniponya gono aisee
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Madaktari msaada wenu tafadhali dawa hizi zinatibu tatizo lipi
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Uso wangu ni wa mafuta na hua nakua na chunusi. Tangu nipo na miaka na 13 hadi leo am 23,hua zina jaa na kupungua,pia break outs za hapa na pale ila dark spots haziachagi. Recently zimejaa sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nin sharp pain kwenye sehemu mkono unapukunjiwa kwa ndani. Penye vein. Ni tatizo gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya. Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya...
1 Reactions
188 Replies
69K Views
Karibu mtu yeyote anaweza kufundishwa kupitia hypnotherapy kupunguza maumivu. Mapendekezo hutolewa kwa ajili ya kudhibiti mauvi ikiwa yamekuwa makali watu wengi wanaweza mara moja kupata msaada...
2 Reactions
2 Replies
835 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethahadharisha kuwa, kushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo kunasababisha ongezeko la ugonjwa wa kisonono ambao kwa sasa umekuwa mgumu kutibika kutokana na bakteria...
3 Reactions
39 Replies
12K Views
REPEATION ON AZUMA FOR HIV and AIDS HEALING. PROVEMENT...AZUMA is seriously treating and healing HIV and AIDS apart of treating STDs. AZUMA inatibu na kuponya VVU na UKIMWI nje ya magonjwa ya...
2 Reactions
43 Replies
29K Views
Habari wana jf. Kwa anaefahamu naomba anijuze kuhusu #GREEN_TEA maana nakutana nayo sehemu nyingi sana. Na ninaweza kuipata wapi kwa hapa kwetu bongo Viwonder.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kama topic inavyojieleza Siku za hivi karibuni nimekua mtu mwenye msongo sana wa mawazo, nimeugua UTI kali, sana na nilienda kwa mke wangu lakini kutoa unyumba akawa anagoma. Siku hizi hata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wanabodi; Kizazi cha digitali kimekuja na mambo kibao ambayo ni kutokana na uvivu na uzembe,kuna dawa nyingi za kupunguza vitambi na manyama uzembe,zipo za kupakaa,kunywa n.k,Je hizo dawa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wanajukwaa Nimesoma kwenye gazeti la Mailonline kwamba kuna ugonjwa wa mlipuko umetokea Madagaskar na unaambukizwa kwa njia ya hewa, mate au kamasi na unaua ndani ya masaa 24. Naomba kama...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Nibinti anaumri wa miaka 16,kihistoria aliwahi kua boshen vile vile ameshaugua fangasi/Bacteria ukeni akatumia dawa tatizo likaonekana kwisha lakini baadae akaanza kuhisi muwasho na maumivu makali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamii forum naombeni msaada wenu kwani macho yangu ni mekundu japokuwa situmii pombe wala kuvuta sigara au bangi je dawa gani inaweza kunisaidia kuondoa tatizo hili Nawasilisha Sent using...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari Wana JF, Kama kuna yeyote anafahamu side effect za primolute N anijuze tafadhali.... Asanteni
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu Madaktari na Kina Mama mlio na Uzoefu na Hii hali jamani,yani mke wangu Tangu ajifungue alikua ananyonyesha vizuri kabisa maziwa yote mtoto ananyonya bila shida yoyote ile mpaka...
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Kwa wenye vitambi tu nipigieni simu mje hapa kinokleini ulizieni nguli, akina wapwa ni free of charge. ========================= Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada...
0 Reactions
339 Replies
74K Views
Natafuta huduma kama hii ya kurekebisha meno kwa hapa dar na pia kwenye malipo nitumie kadi yangu ya bima NHIF
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom