Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limethahadharisha kuwa, kushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo kunasababisha ongezeko la ugonjwa wa kisonono ambao kwa sasa umekuwa mgumu kutibika kutokana na bakteria...
Uvimbe kooni husababishwa na mambo mengi na mara nyingi huwa haisababishi shida kubwa sana.Ukifungana mapua, makamasi hupitia kooni na hivyo basi kusababisha uvimbe.Baridi kavu inaweza pia kufanya...
Salaaam sanaa wana JF awaliyayote napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia afya na uzima
Niliwahi kuleta mada ya mtu wangu wakaribu aliwahi kwenda Hospital kupima hiv kipimo cha kwanza hambacho...
Wakuu ma Dr na wataalam naombeni msaada katika hili. Ndani ya kipndi kama cha miaka 6 ivi nimekuwa niku sumbuliwa sana na ndoto mbaya za usiku. Tatizo lilianza nikiwa A-level arusha. Nikiwa nime...
Habari!
Ndg mimi nimesumbuliwa na mafua sana nilikuwa na mafua makali nikatumia dawa top plus yakapungua lakini nikashangaa badaa ya siku kadhaa nikawa natoa makamasi mazito kwenye pua la kushoto...
Msaada tafadhali kwa anayejua ni asilimia ngapi ya kina mama wajawazito hufariki na je ni asilimia ngap ya watoto hufariki baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitano? Ipi ni idadi kubwa?
Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning...
Habari wapendwa katika bwana,
Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja
Tatizo langu ni tumbo kujaa hewa na kupelekea moyo kwenda kasi na wakati mwingine pumzi inabana hasa baada ya kula , yaani...
Habari zenu ni matumaini yangu muwazima wa afya, pia poleni kwa mihangaiko ya maisha ya kila siku Niende kwenye mada.
Kuna jambo huwa linanishangaza sana, ikitokea mtu amekula sumu (bahati mbaya...
Ndugu wana jf, kuna ishu hi ya female genital mutilation imekuwa ikikemewa sana na mataifa ya magharibi kuwa ni tamaduni ambazo hazina umuhimu na ni zakukemewa.
Kwa mtizamo wangu naona hii ishu...
Jana mida ya sa nane mchana maji yaliniingia sikioni.
Mpaka sasa sikio moja la kulia limeziba.
Naombeni msaada nifanye nini ili maji yatoke nirudi kwenye hali angu ya kawaida?
Wadau habari zenu mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza...
USHAURI MUHIMU UKIWA UKO PEKE YAKO NJIANI NA UMEPATWA NA SHAMBULIA LA MOYO (HEART ATTACK) CHUKUWA TAHADHARI.
Chukulia ni muda wa saa 1:25 usiku unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu...
Tumekuwa Tukisia Kuwa Wanawake Hukoma Kupata PERIODS au HEDHI Zao Wakiwa Na Miaka Kati Ya 48 Hadi 53.
Sasa Na Mimi Pia Naomba Kuuliza; Je, Hivi Huwa Kuna UKOMO MAALUM Wa UUME Wa Mwanaume Kuacha...
Mtu akila sumu (poisoning by mouth) anahitaji kufanyiwa huduma ya kwanza haraka sana. Sumu iliyoingia tumboni inaweza ikapunguzwa nguvu kwa kunywa maziwa Fresh au maji mengi. Halafu mgonjwa...
Habari Za mapumziko ya wikendi.
Tangu niingie humu ni mengi Nimejifunza na hata kupitia maswali mengi ya watu tofauti kuhusu maisha.
Namimi leo ninaomba kufahamamishwa juu ya tatzo hili la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.