Ilianza kama sehemu za mwili kuuma tu ilianza kidogo chini ya mgongo juu ya kiuono kidogo yaani maumivu yanayokuja na kuondoka baada ya kudumu kama sekunde 30-45 ivi.
Maumivu yakapanda mpaka...
Wadau Habari za leo?
Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali...
Mungu apewe sifa zake na utukufu wake. Nianze kwa kusema hv nlkutana na mwanamke kimapenzi kwa mara ya Kwanzaa tulitumia ndom, sku ilyofuata tukatafnana kavu kavu lakini ilivyopita sku nne nkaanza...
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI
Wengi katika wanadamu
wanajaribu kuhoji kwa nini
Mwenyezi Mungu anakataza zinaa
wakati kuingiliana baina ya mke na
mume na kuingiliana baina ya
hawara na hawara mambo...
Habari zenu ndugu zangu, Nimeenda hospitali juzi kwa kuwa nilihisi maumivu hapa katikati kabisa ya kifua kwa ndani, sio maumivu makali ya kunifanya nisifanye kazi na yanasikika tu kwa kufanya...
Reasons Not To Drink Energy Drinks Dec 10, 2013The next time you are looking for ways to get energy, think about alternative ways before you buy energy drinks. Consuming excess amount of...
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati...
habari jf doctor!
Nina tatizo langozi yapata mwezi wa tano tokea lianze, nimekwenda hospitali, nimepima mpaka damu kwa ajili ya HIV nikapewa majibu, nikaambiwa sina HIV, isipokuwa nimeliweka...
[emoji815]Please forward:[emoji815]
"Dr. Guruprasad Reddy B V, OSH STATE MEDICAL UNIVERSITY MOSCOW, RUSSIA[emoji614][emoji613]
Encouraged each person receiving this newsletter to forward it to...
Jamani habari za jpili hii, wakuu heshima yenu.
Naomba utofauti kati ya mbegu nzito ,au nyepesi. Kuna muda zinatoka nzito ,Muda mwingine zinatoka nyepesi.
Nzuri zipi au utofauti haupo?
Kama mada inavyojieleza,Moyo hudunda Mara 60-100 kwa dakika na hiki ni kiashiria tosha moyo wako una nguvu za kutosha sasa kwenye dushelele inabidi isimame Mara ngapi kwa siku kuanzia unapoamka...
Ndugu zanguni Habari zenu!
Napenda kulisemea ili swalq la nguvu za kiume kuonekana ni janga lkn ktk matangazo ya baadhi ya wadau wqnasemq tatizo hili linaweza kutibika kwa mchanganyiko Wa lishe...
Habarini wana JF,
Kichwa cha uzi kinajieleza,
Mimi nina mpenzi wangu tunapendana sana ila anatatizo moja tu tukishaanza kufanya mapenzi nikikaribia kojoa analalamika anaungua na anachomoa gafla...
Kama vile mguu, mkono mara nyingi sana nimeshashuudia mtu anavunjika, anapelekwa kuugwa
mwezi mmoja utasikia madaktari waliunga vibaya
nini huwapata madactari?
kuweni makini na kazi yenu basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.