Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hii thread maalumu kwa ajili ya kupeana uzoefu mbalimbali kwenye mambo ya uzazi Mimi ninaanza na swali la kwanza; Ninamuomba Mungu nipate ujauzito nipo kwenye harakati za kumpata mzazi...
0 Reactions
12 Replies
31K Views
Makosa kumi wafanyayo wazazi wakati wa kuwalea watoto wao. Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi,tunapaswa kuwapokea kama walivyo na kuwapa malezi bora yanayostahili. Mwalimu wa kwanza...
9 Reactions
100 Replies
19K Views
Wakuu natumai wazima, Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa, Kichwa chake kama kinakua kinakufa ganzi upande mmoja,kinamuuma sana. Dawa aliozoea kutumia ili...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Wana JF habari za ujenzi wa Taifa? Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa asali ya kutoka mkoa wa Tabora. Jana nilienda kuchukua mzigo wangu (asali) katika ofisi moja inayojihusisha na kusafirisha...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Nimekunywa Dawa Za Antibiotics Za Minyoo Na Tumbo Aina Ya "Secnidazole Tablets".Nimekunywa Jana Asubuhi Muda Wa Saa Nne(4) Asubuhi.Kwa Dozi Ya "2*1". Je Ni Mda Gani Dawa Hii Itaendelea Kufanya...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Kuna jamaa ya yangu anatarajiwa kuingi theater kesho kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji utakao ondoa jicho lake 1. Nimeumia sana. Atafanyiwa upasuaji kesho kwenye hospitali ya mt Fransis hapa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu wana jukwaa mwaka 2013 nilifanyiwaga operation ya appendix sikuwai pata tatizo lolote kama navyosikiaga kwa wengine ila Leo nijeamka nina kama naisi maumivu nimejiangalia nikakuta kama...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wiki iliopita nilikua nasumbuliwa na mafua nikaenda kupima malaria nikawa nayo basi nikajiongeza nikaenda pharmacy nikanunua dawa metakeflin sijui ndo inaandikwa hivo haya Baada ya kumeza usiku...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu wangu hamjambo... Previously nilileta mada hapa ,kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE. NIMEFUATA USHAURI WENU BAADHI KAMA:- 1.kupima kwa kipimo kingine kama determine n.k...
3 Reactions
77 Replies
27K Views
Kuna habari zinaenezwa katika mitandao na magroup ya WhatsApp, kwamba kumnyonya mwanamke au mke wako Mara kwa Mara kutamsaidia kutopata ugonjwa wa saratani ya matiti. Nikiwa kama Mtumishi wa...
3 Reactions
46 Replies
27K Views
Ndugu, wanaJF naomba kwa wale wenye uelewa wa tiba ya saratani ya damu, maana kaka yangu amepima amebainika kuwa nayo, na amelazwa hoptali ya rufaa ya Bugando. Chanzo chako inawezekana ni kutoka...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Wasalaa wanajamvi. Naomba nijielekeze kwenye mada moja kwa moja. Nina rafiki yangu hivi karibuni miezi michache imepita aliniambia anafikiri ana tatizo la kifua baada ya kukohoa kohozi lenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Nahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
0 Reactions
30 Replies
14K Views
Nimatumaini yangu mko wazima wa Afya Wakuu naombeni ushauri juu ya hili ..Je? Mume na mke kitaalam wanatakiwa wafanye tendo la ndoa marangapi kwa wiki? ..Je? Kwahizo siku ambazo watakuwa...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
maumivu ya jino ni makali sana,jino linalouma ni la mbele ambalo niliwahi kuliziba.Nisaidieni tiba za asili kwa maana huenda itasaidia kuponyesha,kung'oa jino la mbele yahitaji moyo,natanguliza...
2 Reactions
45 Replies
15K Views
Habarini za jioni wapendwa......poleni na mihangaiko...... Naombeni kujuzwa kwa wale wazoefu na madaktari. Kwa mama mjamzito... Mtoto anapokua anacheza tumboni..... Huchezea maeneo yapi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Very sory, today I will use a second lg to ask for help from you,let me explain directly what is contradicting me. Shortly my penis has got a problem when it comes the time to sex, so when we...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu..mimi ni kijana ambae nasumbuliwa na kutosikia vizuri since 2007, Nimeenda hospitali nyingi na kutumia dawa za vidonge lakini tatizo halikatatuliwa. Naombeni msaada wenu kwa wenye...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wakuu mimi ni wale wanaopenda kufunga ndevu nyingi adi zikafunika sura. Tatizo kila vikianza kuchomoza kidogo tu kidevu kinawasha adi nalazimika kunyoa. Je kuna tatizo la kiafya au ni namal tu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ninasumbuliwa na kitu kama utando katika koo ambao huwa unatokea kwa Muda na kuondoka........ Msaada wa dawa zinazotibu Tatizo hilo wazalendo wenzangu
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Back
Top Bottom