Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba kuuliza virus vya UKIMWI huoneka baada ya mda gani kwenye vipimo vya hospital baada ya mtu kuambukizwa.?? Au ni mda wowote hata baada ya sex na mwenye + kama umekupata unaweza kupima na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Mimi ni muathirika wa hili tatizo tangu nimezaliwa.Kwa walio karibu nami huwa wananambia naongea vitu vingi sana tena kwa sauti kubwa. Sasa kinachoniogopesha ni kwamba huwa naongea yale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hivi kwanini kipindi hiki baada ya zana hizi za matibabu kusambazwa karibia vituo vingi vya afya. Njia kuu ya kujifungua imekuwa kisu, Je! Hapo mwanzo mbona karibia wengi walikua...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
14 SUPER FOODS THAT PREVENT BREAST CANCER Breast cancer might be a common form of cancer but it can also take on a deadly form. It has been predicted by the World Health Organization that by...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kufanya kazi ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu mwili unashindwa kujiendesha na kuzalisha seli mpya ambazo zinatakiwa zitumike. Kwa kila anayefanya kazi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni kati ya yaliyomo katika ripoti ya sababu ya vifo katika hospitali za Tanzania iliyotolewa na Taasisi ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu,NIMR Kwa ufupi, * wanaume si wepesi kumuona daktari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamii inanenepa "Kila Kukicha Inanenepa" Hata watoto wadogo wananenepa, Wanavitambi, Tuseme kwamba kama baba na mama ni mlafi na mvivu wa mazoezi watoto pia ni "WALAFI NA WAVIVU"? Je Kitambi Cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LEO tutaangazia vyakula tiba kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Tutaangalia aina ya vyakula anavyopaswa kula au kuviepuka mgonjwa wa vidonda vya tumbo (Ulcers) ili kupata nafuu na kuishi bila...
4 Reactions
2 Replies
34K Views
Habari wanajukwaa, kwa anaefahamu, eti kipimo cha VVU ambacho unaweza kujipima mwenyewe au kumpima mwenzako nyumbani kinaitwaje? halafu bei yake ipoje? naomba mnisaidie hata kama kuna picha yake...
0 Reactions
34 Replies
25K Views
Kuna kipindi fulani hivi kama mwezi wa 8 nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi, kumbe bila ya mimi kujua yule binti ana HIV+ na siku tunafanya mapenzi alikuwa anasitasita nadhani nafsi...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Ndugu zangu kuna mtoto wa jirani anaumri wa miaka miwili sasa ila tatizo ulaji wa mchangu umezidi kwa kasi sana, yani ukikaacha dk 1 tuu kwake ni golden chance kubwa sana kanabugia fastaa. Naomba...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Nimechanganyikiwa usiku nikimgusa mke wangu napigwa shoti, nikikanyaga chini peku peku napigwa shoti mbaya zaidi. Leo asubuhi nimesalimiana na mtu ameshangaa nimepiga shoti yaani hadi...
4 Reactions
53 Replies
10K Views
Wakuu koo linawasha halafu nakohoa nimetumia antibiotics leo siku 4 sioni nafuu naombeni ushauri wenu
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Morogoro. Matumizi ya vilevi mbalimbali ni moja ya vichocheo vinavyosababisha ongezeko la wagonjwa wa akili, huku mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza ikiwa ndio vinara vya wagonjwa hao...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wana JF natumaini wazima, Kuna kitu kinanitatiza kidogo uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo. Msaada please
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,samahani mi ninasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa ngozi takribani miaka 4,nimekuwa nikitokewa na vipele ambavyo huanza vikiwa vidogo na laini ukiviminya vinatoa majimaji mfano wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi
Msaada wa tiba ya vipele jamani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Salam kwa wote jamvini, Tafadharini sana wakuu nimeanzisha Uzi japo nipate mawili matatu juu hedhi . Tatizo ni hedhi kwa muda mrefu, Rafiki yangu[best friend] ana tatizo la kupata hedhi kwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kiukweli huwa sipendi kunywa dawa za hospitali sana hasa kwa ugonjwa wa mafua naachaga tu unaisha wenyewe. This time haya mafua yamechukua muda kidogo kuna saa nakohoa sana nabanja kidogo...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Habarini ndugu wana Jamvi. Mke wangu amegundulika kuwa ana tatizo la kuziba kwa mrija (fallopian tube) wa upande mmoja, hivyo napenda kufahamu kuwa, je bado ataweza kupata mimba kupitia mrija wa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom