Habari za wakati huu wana_Jf! Kwa kawaida mwanamke anapopitia hatua ya uzazi sehemu nyeti hutanuka ili kupitisha kiumbe,Je huchukua muda gani hadi kujirudi kama awali baada ya kujifungua? Na huwa...
Mimi ni Kijana umri miaka 32 Kwa muda wa Wiki nzima mfululizo ninapata maumivu makali kwenye nyonga yanashuka mpaka kwenye paja natembea kwa shida sana.
Naombeni msaada kwa wenye uelewa na haya...
Kama title inavyojieleza,marafiki mwenzenu nina shida kubwa ya mafuta mengi usoni,kila mafuta ninayotumia yanagonga mwamba kiasi kwamba nimeamua kutotumia mafuta yoyote yale ili kuepukana na...
Habari wadau/wataalamu!
Nina Rafiki yangu wa kike allijifungua kwa Operesheni....kidonda kinachelewa kupona yaani bado kibichi tangu mwezi wa NANE.
Afanyaje? Au ale vyakula gani?
Ndugu zangu nimepewa dawa za kutibu tatizo nililoaambiwa ni AMIBA...lakini nadhani katika moja ya dawa nilizopewa ni za kuzuia kuendesha jambo ambalo kwa kweli linanipelekea kupata choo kigumu...
MADHARA YA KUNYWA MAJI BARIDI
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu...
Wakuu, kwa mara ya kwaza leo Nimekunywa kinywaji cha baridi Azma energy, Kwakweli Nimependa radha yake na nimeinjoy.... Cha ajabu baada ya kama Dk 20 hiv hari yangu imebadirika miguu...
Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu,
Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana, nilifanya nae sex siku ya 14 baada ya siku zake, aliingia period tarehe...
Wakuu samahani koo langu linakaba sana hadi kuna kipindi nameza kwa shida sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara naomba mnisaidie tatzo ni nni na tiba yake ni nini
salaam wadau
je kwa mja mzito wa 2 miezi kusafiri kwa basi umbali wa 450km(300 lami,150 vumbi) kuna madhara yoyote kiafya yake na kababy kake. naomba kuwasilisha
Jamani wana jamiiforum wenzangu nauliza kwamba kuna mtu ameishawahi kusaidika na dawa ya mzizimkavu ya low sperm count,imenichukua muda mrefu kupata kababy ka pili inabidi twende kupima na...
Wakuu habari,
ni vyakula gani mzazi wangu anatakiwa ale ili kuongeza ute...Disc za miguu zimesagana sana sana kwasababu hakuna ute...maji maji laini. anashindwa hadi kutembea
Ahsanteni sana
Wadau habarini,naomba kujua kwa wataalamu au wenye kujua hasa,ugonjwa tajwa hapo juu unasababishwa na nini na madhara yake ni yapi,natanguliza shukrani
Samahanini kama haitaleta mashiko kwenu ila mwenzenu naombeni msaada wakimawazo kwa wenye utaalaumu humu ndani
Ndugu yangu ana tatizo la kusinzia muda wote haijalishi usiku analala au laah...
Habarini za majukumu wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mke wangu anamiguu iliyokonda sana (hana supu).
Maumbile yake siyo mwembamba ila ni miguu tu imenyauka nyauka kama fito. Huwa...
Wakuu habari za majukumu,
Nimekuwa na jambo hili ni kama miezi sita sasa nimeenda kwa daktari aliniambia sijafanya mapenzi muda mwingi ndiyo mana hutokea.
Jambo ni hili;
Nikiakaojoa then mwisho...
Wakuu ni muda mrefu sasa toka nianze kusumbuliwa na huu ugonjwa, kwa kifupi sijawahi pona mpaka nikawa fit kabisa! Mwili wangu umekuwa na uchovu kila muda hata kazi zangu haziendi kwa ufanisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.