Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna swali limetokea kunifikirisha sana, nalo ni hili: Nini kinasababisha uvimbe/kuvimba(swelling). Ninahitaji kufahamu the process of swelling. Najua zipo sababu nyingi za kuvimba, mfano...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kupata tatizo la kichefuchefu na kutapika katika hatua za awali za ujauzito hasa asubuhi, ni jambo la kawaida linaloweza kudumu mpaka wiki ya 14 ya ujauzito na kuisha lenyewe bila tiba. Iwapo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ukweli wa kufahamu kuhusu nimonia Kifo kimoja katika vifo vitano vya watoto wa umri wa chini ya miaka 5 husababishwa na nimonia. Kikohozi, mafua, kuwashwa koo na kutiririsha makamasi ni mambo ya...
4 Reactions
4 Replies
5K Views
Kutokana na kalenda ya maradhi iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), Oktoba ni maalumu kwa ajili ya kuongeza uelewa kuhusu saratani ya matiti. Nikiwa daktari, binafsi naupenda mwezi huu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi na watalaam mwenye kujua dawa, nawashwa mwili mzima halafu vinatokea kama alama za ukurutu/kuungua, dawa nilzotumia hadi sasa bila mafanikio ni hycorum cream, dexamed tablets na dettol...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imebainika kuwa ku ejaculate angalau mara 21 kwa mwezi kunaepusha na kutopata Prostate cancer ukilinganisha na anaye ejaculate mara 4-7 kwa mwezi. My Take. Tuchukue tahadhari kabla ya hatari...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wadau wa mijadala !!! Ninajambo la kiafya linanitatiza sana japo mie si muathirika wa jambo hilo. Tatizo la mapafu kujaaa maji linasababishwa na nn?? Au ndo unywaji maji kupita kiasi?? Na...
1 Reactions
11 Replies
19K Views
Habari wadau mkewangu ana ujauzito wa miezi 2 ila tatizo ni kichefuchefu cha mara kwa mara hatimaye chakula hakikai tumboni, pili hana hamu ya kula isipokuwa uji tu tafadhali msaada kwa huyu mama...
0 Reactions
6 Replies
894 Views
Habari wakuu.. Kuna rafiki yangu Jicho lake la kushoto linacheza cheza( This is involuntary) na sio kwamba halioni hapana bt linacheza cheza linatulia baada ya mda kidogo linacheza tena ( NB: siyo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hello ndugu zangu wa JF .Naombeni msaada please. Jicho langu la upande wa kulia halioni vizuri kama ukungu Flani hivi lakini la upande wa kushoto liko sawa kabisa. Naombeni ushaurii kwa wale Dr wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ipi official anti-malaria mseto 1. Artemether + Lumartem ? 2. Dihydroartemisinin + Piperaquine
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Wanasayansi wamekuwa wakitengeneza chembe chembe za kinga ya mwili zinazoweza kushambulia asilimia 99% ya virusi vya HIV vinavyosababisha ukimwi na hivyo kuzuwia maambukizi kuendelea. Chembe...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Ninashida ya kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu,njaa ninayo lakini sitaki chakula chochote nikila kinakuwa kichungu na ninatafuna kwa muda mrefu kabla ya kumeza,ninalazimika kutumia pilipili...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Kwanza kabisa niwape pole Kwa majukumu. Nina kaka yangu. Wa damu 1 niliemfuatia. Alianza na kulalamika kuwa mke wake anamsumbua lakini mwezi umepita akawa ni mkali hata kwa jambo dogo. Ongea yake...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Wataalam nawasalimu. Nina ndugu Yangu amepata tatizo la kiu Mara kwa Mara. Yaani akinywa Maji haipiti hakika 10 midomo imekauka kiu. Amekwenda hospital amefanyiwa vipimo vya diabetes tena wanaita...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari Matumizi ya Vidonge vya water guard, je vina madhara katika afya ya mwanadamu?
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Wasalaam wadau wa afya. Hivi ninavuoandika uzi huu kichwa kinaniuma upande wa juu ya jicho la kushoto zaidi ya saa moja sasa. Siku ya leo sijatoka ndani, nimepumzika Karibu siku nzima...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu ninawasalimu. Kama kichwa cha mada kinavosema, nini husababisha hali ya kuwashwa njia ya haja kubwa. Nini tiba yake na namna ya kuepuka adha hii. Asante.
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Nawasalimuni wote JFDoctors!!! Somo la 1;Chanjo dhidi ya kuhara!! Utangulizi Chanjo, ni muhimu kwa mtoto kwani huandaa kinga ya mtoto mapema, na hivyo kumuepusha na maradhi ambayo yatamkabili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom