JE, WAJUA?
Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo.
Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi.
Massage huondoa maumivu ya mgongo.
Massage huondoa msongo wa mawazo.
Massage huboresha mzunguko...
JE, WAJUA?
Massage inaondoa Uchovu na Maumivu ya Viungo.
Massage huimarisha afya ya misuli na ngozi.
Massage huondoa maumivu ya mgongo.
Massage huondoa msongo wa mawazo.
Massage huboresha mzunguko...
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama...
Husika na kichwa cha habari jana ilikuwa siku ya pili nasumbuliwa gas tumboni nashindwa kulala usiku nikikaa kitandani haliumi nikilala tu linaanza.
Nilishawahi kusumbuliwa na ili tatizo but...
Kwa nijuavyo pethidine ni dawa ya maumivu ya daraja la opioid ambayo mara nyingi hutumika theatre wakati Mgonjwa akifanyiwa operation na baadae hutumika kwa Mgonjwa huyo huyo ndani ya masaa 24...
Habari zenu wandugu,
Nina hili tatizo la Mba kwenye mashine yangu, nafikiria kutumia hii dawa ya kawaida ya maji ya kutibu mba za usoni, but nafikiria inaweza kunisababishia madhara naombeni...
Hili Igizo Busu - The Kiss
Limetengenezwa kuhamasisha wanaume kutahiriwa ni muhimu kunakuepusha na Ukimwi na magojwa mengi yanayosababishwa na kujamiiana,
Mie nilitahiriwa nikiwa mdogo sana...
Huu ugonjwa umetokea takriban miezi 7 sasa unamsumbua mtoto wangu, nimefika kwa mtaalam wa magonjwa haya pale kwa Dr kairuki na akamtazama bila vipimo akasema ni Virus ambao walichangiwa na...
Mimi huwa nikiumia sana basi nyama inakua pare nilipoumia yaan hii hali yanitesa sana inaniaribia mwonekano WA mwili wangu kitalamu hivi vinyama wana viita kiloidi sasa nifanyeje maana nilitakaga...
Nimekuwa nikitazama kwenye makala mbalimbali ya kuwa tunda hili limekuwa msaada MKUBWA sana kwa uongezaji wa nguvu za kiume. Je ni kwel ndivyo ama ni propagandy tu 'na kama ni kweli huwa...
A Tanzanian from southern Sahara (Yes you got it right, it is in Africa) to write and/or to speak English fluently sometimes scare the hell out of me. so pardon for my English.
seeing clots of...
MAKOSA YANAYOFANYWA NA MADAKTARI KWA WAGONJWA
Na JOACHIM MABULA,
UNAPOKUWA mgonjwa na kupelekwa hospitali, unakuwa na amani kwa kuwa uko katika mikono salama. Hudhani kwamba daktari au muuguzi...
Poleni na majukumu ya kazi naomba kuhuliza swali? Nina mke wangu nilie zaa nae mtoto mmoja baada ya kuzaa tulienda kupandikiza kijiti lakin baada ya muda tukaona tunahitaji mtoto wa pili lakini...
Kwema jamani,naombeni ushauri
Nina binti yangu ana miaka 5 sasa!tangu amezaliwa uzito wake kweli hauongezeki kabisa !yaani ni mwembamba sana!yaani mikono na miguu ni imenyooka tu,baada ya Miaka...
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.