Kwa mujibu wa tafiti za kiafya zinaonyesha, ipo faida kubwa sana kwa mtu yeyote anayetumia zabibu katika upande wa afya yake.
Inaonyesha moja kwa moja, zabibu kutokana na wingi wa madini...
Je denda ni salama linapokuja suala la kuambukizana maradhi hasa UKIMWI... Tumepima na tunatumia kondom lakini tunaishi mikoa tofauti na huonana baada ya miezi miwili... Wasiwasi wangu ni denda...
Nawaswalimu wote kwa jina la JF. Mimi napenda kufanya mazoezi binafsi pindi ninapopata muda kutokana na kukimbiza na majukumu ya dunia ya sasa. Kwa uelewa wangu mdogu mdogo, nimekuwa nikivaa...
Kwa wale mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo kuna tiba inaitwa C24/7 pamoja na Choleduz pia hizi tiba zinatibu matatizo mengi ya kiafya kama vile shinikizo la damu , kutibu na kudhibiti uwezekano...
Nina kama mwezi hizi nilikua nasikia muwasho na maumivu nikikojoa, nikaenda hospitali nikapipa nikaambiwa nina UTI nyingi, Nikapewa dawa inaitwa NITROFULANTION nikamaliza dozi ila bado nikaendelea...
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami...
Wasalaam JF,
Nina mtoto wa miezi saba (7) ambaye tangu akiwa na miezi minne amekuwa na tabia ya kuwa na joto kali kichwani wakati sehemu zingine za mwili zipo na joto la kawaida. Hii imekuwa...
Wakuu nawasalimuni sana, naomba msaada kwa hili ndugu.
Nimeshazunguka hii dar mpaka nimechoka kila duka halina hii dawa.
Ni ya kumsaidia mama mjamzito kujifungua kwa maelekezo ya daktari...
UJUMBE KUTOKA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA MAFUNZO YA HOSPITALI CHA LAGOS (LUTH)
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake...
Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa.
Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake...
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha sasa yapata...
*A chat with Dr. Devi Shetty, Narayana Hrudayalaya (Famous Heart Specialist) Bangalore, was arranged by WIPRO for its employees. The transcript of the chat is given below. Useful for everyone.*...
Wasalam,
Madaktari naomba msaada, nimekuwa nakunywa maji na kukojoa kila wakati. Kiu inakuwa Kali kiasi nahisi kuchanganyikiwa midomo inakuwa kama imekauka hivi na dawa pekee ni maji, nakunywa...
Habarini za mchana wana JF, wajuzi katika jukwaa la JF Doctor.
Nimekuwa muathirika na huu mfumo wa hewa ya kutengenezwa....
Nilikuwa na weusi ambao kwa namna moja nilijivunia pamoja na kuwavutia...
Kwenye thread hii nawalenga wanajf wa mkoani kilimanjaro waliojiunga na Bima ya afya ya Jamii Afya inayosimamiwa na Vodacom na Jubilee Insurance.
Kwa mkoani kilimanjaro zimeteuliwa hospitali za...
Habari zenu wakuu!
Niende kwenye mada naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.