Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu wazima? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili hasa sehemu za mapaja, tumbo, mgongo na mikononi. Nikipakuna panakuwa kama nimetembelewa na mdudu. Nilienda hosp wakasema allergy...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu Jana jion nilipta sokoni nikanunua bichwa la samaki wabichi,nikamkaanga nikamtafuna na sembe ila alikua amechina kidogo. Chakushangaza wakat naendelea kula nikaanza kuumwa kiungulia kikali...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hali zenu jf doctor naomba mnisaidie dawa ya mafua na kifua spitali nimeenda nimepewa satrin na amplicox halafu presha angu imeshuka kidogo jeee niendelee nazo hizi dawa au niache manake naona...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kwa wale wanajamvi ambao wanaumwa au wanandugu wanao umwa masikio.Natoa tiba kwa bei nafuu na zaidi ni kwa wale watu wanaoishi maeneo ya MWANZA Matibabu ninayoyato ni 1.Kuondoa usaha ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nina week sasa napata maumivu makali upande wa kushoto katikati ya kiuno na kifua kama unaenda mgongoni hivi panauma sana kwa ndani ni ugonjwa gani wakuu kuhusu kwenda hosptali naogopa sana...
3 Reactions
60 Replies
16K Views
Wakuu habari zenu, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza,yani huwa sitoki jasho kabisa wakuu,mfano naweza nikawa na tembea au kufanya chochote cha kutoka jasho na watu,wenzangu wote utakuta...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mamboz wadau !! Push up zina umuhimu gani katika maisha ya binadamu? Je mwili unaofanya push up na mwili unafanya kunyanyua vyuma utofauti wake ni nini???
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar zenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp? Karibuni .
0 Reactions
13 Replies
7K Views
heshima mbele wakuu, AIDS=UKIMWI CHICKENPOX=TETEKUWANGA NA MAGONJWA YAFUATAYO YANAITWAJE KWA KIINGEREZA? (1)KIPANDA USO (2)PEPOPUNDA
0 Reactions
17 Replies
35K Views
Ndugu zangu wanajamvi nimeona niilete maada hii humu ili niliweze kupata msaada kutoka kwenu. Baba yangu anaumwa kibofu cha mkojo mwezi uliopita hali yake ilikuwa mbaya ikanilazimu nimtumie...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu wengi huvumilia mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi wanaweza wakawa katika eneo ambalo hawezi kwenda haja ndogo lakini wengine ni uzembe ambapo wengi utakuta...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
Wadau hii kitu nimekuta Dada mmoja anauza anasema inapunguza unene kwa kupaka hii inafanya kazi kweli au utapeli na ina madhara wadau ukitumia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja kati ya vitu ambavyo wajawazito hawaruhusiwi kabisa kuvifanya ni pamoja na kunywa pombe ya aina yoyote ile ingawa hata hivyo wapo baadhi ya wanawake huamini mvinyo ‘wine’ huwa haina madhara...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wataalamu wa afya na mwili wa binaadamu kwa ujumla, wale mapacha wetu walochaguliwa chuo kikuu majuzi mfano akifa mmoja (siombei iwe hivyo) na inavyoonesha kila mmoja ana moyo wake...
0 Reactions
3 Replies
709 Views
Naombeni msaada wa tiba ya tyfod iishe kabisa imenisumbua sana .
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalam wa afya, naomba msaada juu ya athari za kiafya kama zipo juu ya hili.Dada zetu na mama zetu siku wapikapo wali hufunika sefuria inayopikiwa wali kwa kutumia mifuko ya plastiki na hasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaam wadau wa jukwaa hili muhumi. Moja kwa moja nieleze tatizo langu ni kwamba recently nimekuwa nikikojoa mara nyingi sana kwa siku, Hapo awali mwanzo wa mwezi huu nilienda hospitali (level...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Back
Top Bottom