Wataalam wanasema Bangi inasababisha Mbegu za kiume kuwa vivu au na zinaogelea kwa kuzorota na kwa uzembe hivyo kuleta ugumu katika kutunga mimba.
Haipunguzi Sperm count bali uwezo wa sperm...
Salaam members, naomba kujua je mama mwenye blood group O kwa kukutana na mwanume yeyote yule yaani mwenye blood group lolote lile anaweza kupata/kuzaa mtoto mwenye blood group AB ?
Salama Members ?
Najiuliza sana ni kwa nini madactari walio wengi huwa hawaamini kuwepo malaria sugu ?
Yaani mgonjwa anatumia dose kamili tena baada ya kuthibitisha kuwa anao...
Wadau nina tatizo la macho kuwa mekundu yaani ni shida hata kuonana na mtu wa heshima yapo mithiri ya mvuta Bangi! hali hii inanikera ila macho hayaumi na kwenye jua ndo napata shida sana na...
Watu wengi hatujui hili, vituo vingi vya CTC hutumia rapid test kugundua kama mtu ana maambukizi ya VVU, vipimo hivi huwezi kuonyesha uwepo wa VVU mwilini kuaniza siku 21 hadi siku 84 . Na vipimo...
Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu ambapo kuna kipindi lilianza kidevuni nikalikamua baada ya kama week likaja tokea pajani.
Likauma nikawa nashindwa kutembea vizuri but...
Things you must never do to your vagina - Magazines
She says after prolonged use, she started getting infections and when she visited a doctor, he advised her to stop immediately.
Apart from...
Habari zenu wanajamvi? naomba ushauri na matibabu nina tatizo la ngozi ambalo limenisumbua kwa muda mrefu karibu miaka kumi sasa linavyokuwa lipo juu kidogo kwenye jicho la kushoto uanza kwa...
Habari wana JF,
Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo...
Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila...
Habari za mda huu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano (...
Habari za Jioni hii wana JF
Kama kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni Mvulana mwenye umri wa miaka 32 nasumbuliwa na tatizo la kujichua yaani Kupiga PUNYETO. Nimeanza tatizo hili bado nikiwa...
Nine pharmaceutical drugs that can cause chronic fatigue
(NaturalNews) There are many different factors and underlying health conditions that can affect energy levels from day to day, as well...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu Naam karibuni katika somo hili adimu kabisa sababu ni somo lenye faida kubwa sana kwa wale wenye kupenda kujifunza baadhi ya mambo leo tutaangalia namna ya...
Habari zenu kuna mwanamke anataraji kufunga ndoa kesho kutwa na anajisikia dalili za kupata hedhi na huwa anapata maumivu makali hivo anahitaji kujua ni dawa gani itayomsaidia kuzuia asipate hedhi...
Mala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko.
Ila cha ajabu wakati wa baridi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.