Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hivi no kweli vyakula tajwa hapo juu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa ? msaada tafadhal ili tulinde heshima ya ndoa zetu..!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi. Nna Mtoto wa Kiume Umri miaka miwili na nusu 2.5 sijamfanyia tohara na niliacha kumfanyia mapema kulingana na mila na desturi za kwetu maana mie Baba ake nilifanyiwa nikiwa...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Boots pharmacy inajulikana na wengi waliowahi kuishi Uingereza kampuni hii inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wafamasia wana pokea maombi mengi kutoka India. Wenye degree za pharmacy jaribuni...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Unaweza kuwa unapiga miayo hivi sasa wakati ukisoma taarifa hii - ni wa kuambukiza. Sasa watafiti wamekuwa wakichunguza kinachofanyika ubongoni ili kuchochea hali hiyo. Timu ya watafiti katika...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
=> Wakati wa ujauzito, unaweza kusikia uchovu mkubwa au usingizi. Mara nyingi uchovu huu upo katika miezi mitatu ya awali. => Kama mjamzito, jitahidi kupumzika na kuweka miguu juu kila unapoweza...
3 Reactions
22 Replies
13K Views
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku tulikwenda gesti kutenda hilo jambo sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile...
0 Reactions
106 Replies
37K Views
Habarini wakuu na wataalamu mliopo humu...,nahitaji miwani ya macho na kusomea maana yananisumbua mno .,hivyo ni wap nitapata miwani na yenye frame nzuri pia Nipo Arusha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wadau Kwanza kabisa niombe kwa anaemfahamu hospitali nzuri ambayo naweza pata dakatri mzuri wa tezi ya shingoni kwa apa dar es salaam Nina ndugu yangu ameonekana anadalili za...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni mnitajie dawa za kuongeza nguvu za kiume za dukan au za asili namna ya kuzitumia nipo tabora naziitaji wk hii kuna manzi nimeipata nimechoka kudharauliwa na wasichana Sent using Jamii...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu poleni kwa majukumu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombe niulize. Eti mtu aliyechomwa sindano za quinine akiwa mdogo na zikamuathiri uwezo wake wa kusikia, zinaweza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natanguliza Shukurani zangu kwa wote mtakaonisaidia kwa majibu yenu ya Kimatibabu ili nami niweze kumuokoa kama siyo hata kumsaidia Mgonjwa wangu. Nina Bibi yangu anasumbuliwa mno na tatizo la...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
32K Views
Habari za mida wadau, Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure. Kwa kuwa...
4 Reactions
63 Replies
26K Views
Nimejaribu kucheki sana internet, nimegundua kitu inaitwa candida ni aina ya fungus fulani hivi. Nimepaa ni kwanini ugonjwa uo unawapata watu. Japo mara nyingi unakuta mtu anautando mweupe...
1 Reactions
24 Replies
45K Views
Je unasumbiliwa na upele(acne)?? Upele hasa sehemu za uso huharibu mwenekao wa mtu hivyo wengi wanaweza tumia dawa au mafuta kuondoa viupele.. Sasa Leo nmekuletea somo kuhusu upele...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
habari za hapa wanajukwaa wenzangu samahani ningependa kujua kama kuna madhara yoyote yatakayompata mwanaume endapo atajichelewesha kumwaga wazungu kwa makusudi wakati wa tendo la ndoa nauliza...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Unaelewa nini kuhusu kiungulia ambacho kwa kitaalamu huitwa Heartburn..!!?? Bonyeza link hapo juu ujifunze kitu kipya kuhusu kiungulia(heartburn). √Sababu √Dalili √ Tiba kwa...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangallah BAADA ya hivi karibuni dawa mpya ya kupambana na Virusi Vya UKimwi kugundulika na kuanza kutumika nchini Kenya, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Wakuu heshima kwenu. Hivi karibuni nimesikia watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi singasinga Harbinder Sethi na Manji Yusuf kuwa ni wagonjwa na wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom