A baby boy who looks like an 80-year-old man actually has a rare condition known as progeria,which causes him to age quickly and affects just one in four million people.
This baby Born in...
MAMILIONI ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) ulimwenguni, sasa wanaweza kupata tumaini jipya baada ya wanasaynsi wa nchini Isreali kugundua dawa ambayo inasemekana kuwa na uwezo mkubwa...
Serikali yetu kushirikiana na Wizara ya Afya wakiwa na mkakati wa kupunguza/kudhibiti/kuzuia Kabisa vifo vya mama wajawazito sio mbaya tukiangalia dalili za hatari kwa mama wajawazito.
Hizi ni...
Naomba ufafanuzi wa kitaalam" vipimo vya ukimwi vinasemaje kwa mtu mwenye blood group O"? Kuna dada mwenye blood group O kazalishwa na mwathirika lakini kila wakienda kupima yeye na mtoto hawana...
Nina tumaini wote mko salama.
Naomba niulize yeyote mwenye ujuzi na hili jambo anisaidie.
Takribani miaka miwili iliyopita,wife amekuwa na kitu kimevimba,ukimuona utahisi mjamzito,alienda...
habar wanajamii
samahani naomba kuuliza
kama mwanamke akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja ama miwili akinywa dawa ya tumbo ya flagil itasababisha kuharibu hiyo mimba?
nawasilisha
Habari kama kichwa cha habari kilivyo.
Nina mtoto wangu mtundu kweli katika kucheza cheza huko wenzake wamemleta akiwa analia wanadai ameanguka na damu zinamtoka mdomoni kumuangalia meno yameshuka...
Habari wakuu.NImekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujaa mate mdomoni,hali hii inanitisha make inafikia hatua nikiwa nazungumza inanibidi nitulie kwa muda ili nimeze hayo mate kwanza.Si mzungumzaji...
Wakuu habari za mihangaiko
Bila kupoteza muda niende madani kuna rafiki yangu kipenzi ameniomba ushauri ila nimekosa jibu.
Jamaa kaniambia kuwa Jana wakati anasex na mpenzi wake kitu cha ajabu...
Nauliza kwa sababu hakuna hata mmoja wetu mwenye utaalamu wa kupima mkojo na kujua kilichomo. Hivyo, matokeo ya mtaalamu wa mkojo ndiyo ya mwisho.
Sasa kama hujui jambo linapimwaje basi maana...
Habari waungwana.
Tofauti na tatizo la kudaiwa hizo B87 mwenzenu nina tatizo la kupata mba kila sehemu yenye nywere kichwani baada ya kuoga maji yenye chumvi Kwa Muda mrefu.
Tafadhali naomba...
Mwanamke hata atembee na wanaume wangap na akapata mimba atajua tu kwamba hii mimba n ya fulan
Na pind tu mimba inapoingia tuseme sekunde mwanamke hutambua. Cjui uwezo aliowapa mungu
Sasa...
Wakuu habari,napenda na nitashukuru sana kujua madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto (Pediatrician) wazuri waliopo hapo jijini ili niweze pata huduma zao.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wana jf.
Ngoja niende direct kwenye mada kwamba nini sababisho kwa huyu mwenza wangu ana mtoto wa pili saizi lakini tu kiwa kwenye mgegedo namuandaa vizuri kabisa nahakikisha papuchi ina...
Habari ndugu wadau?,
niende kwenye mada:
Nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo...
Mazoezi kwa mjamzito yanasaidia kuimarisha misuli na kusaidia mfuko wa kuhifadhi mkojo, mji wa mimba na tumbo. Kwa kuimarisha misuli ya maeneo haya wakati wa ujauzito, unaweza kujenga uwezo wa...
Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula. Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa ni chakula chenye tiba ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.