50 year old woman presented at the Gyne clinic due to failure to conceive after one year of unprotected sexual intercourse. She was married one year go. Her husband is 34 years old, recently...
Habari wanajamii,
Naamini humu kuna madaktari wazuri tu. Kuna swala linanishangaza tena sana, yaani inakuaje mtu kazaliwa mbantu kabisa "mweusi asili" na baada ya miaka kadhaa( takr. 35)...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kiukweli nimechanganyikiwa.Mtoto wa dada yangu kijana wa miaka 16 anakojoa damu.Mwili unabadilika rangi na kuwa mweupe,macho meupe hospitalini wamekosa...
What are blood thinners?
Blood thinners prevent blood clots, which can stop blood flow to the heart. Learn about how they work, who should take them, side effects, and natural remedies.
Blood...
Wadau kwanza poleni na majukumu yote ya kupigania maisha, naombeni kufunguliwa macho juu ya tatizo tajwa kunakijana (mtoto wa sister ni darasa la 7 sasahivi) nimemkuta na hii dhahama na kwa mujibu...
Wakuu bila shaka hamjambo, naomba kujua hivi dawa ya misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza? wife kameza haijafanya kazi , ujauzito ni wa...
habari za mchana
niende moja kwa moja kama nilivyoeleza hapo juu,
leo ni siku ya tatu kijana wangu hapati usingizi na amekuwa mlizi tofauti na siku za nyuma, huku mtoto ni wa kiume na sasa ana...
Habar wa ndugu, jaman naombeni ushauri nina maumivu sehem ya uume yan kwenye shina kulia hiv ambay yameanza juz nikiwa mazoez, lkn ch ajabu leo nimemwaga shahawa zenye mchanganyiko n damu na
Sent...
Habari wana jamvi!
Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.
Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa...
Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 25 nnasumbuliwa na tatizo LA kupoteza hamu ya kufanya mapenzi pia Kama nikifanya Mara moja siwezi kurudia kabisa tendo ni miaka mitatu nimehangaika lakin...
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea...
Viongozi salaam!
Kama heading ilivyo. Naomba kujua sababu za mtoto kutokugeuka akiwa tumboni kwa mama wakati wa ujauzito. Inasemekana mtoto hugeuka kuanzia miezi sita ya ujauzito. Tatizo la...
Mtu anaye harisha, mwenye macho mekundu na anakojoa mkojo wa njano, anakuwa anaumwa nini??
Msaada wenu Jaman mweny kujua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fahamu tatizo la Apendex.(kidole tumbo).
Kidole tumbo au Apendeksi hupatikana katika utumbo mkubwa, urefu wake ni kama kidole cha mwisho cha mkono,
Sehemu hii hupitisha myeyuko wa chakula na...
usiku nikilala ikatokea nimeshtuka jicho langu moja linatoa machozi mengi nikifuta yanaongezeka zaidi na haliumi lakin naona tu machozi yanamiminika kwa muda mpaka nikisinzia linaacha. na hii hali...
Nina miaka sita sasa tangu ni balehe nakushuhudia chunusi kwa mara ya kwanza kwenye uso wangu lakini chunusi hazina dalili ya kutoka nitumie dawa gani au sabuni gani msaada tafathali
Sent using...
Ninashanga nimeipataje typhoid:
Tangu nije hapa Dar mwaka 2005 mpaka leo huwa nakunywa maji ya chupa tu, hata kupigia mswaki na kunawa uso ni maji ya chupa tu.
Sasa leo nimefika hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.