Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kifahamu kipindi cha baleghe kwa wavulana na wasichana. Ubalehe ni jumla ya mabadiliko ya mwili na ya roho yanayomfanya mtoto kuwa kijana halafu mtu mzima. Ufafanuzi. Ingawa kila mtu ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, kuna rafiki yangu sehem za siri anaumwa nisijue kaswende au kisonono na yupo katka hali ya kutoa usahaa kwa mujib yeye anavyosema make alianza kwa kuuma baada akiwa anamaliza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini za leo wakuu nimepatwa na hivyo vipele takribani mwezi wa pili sasa havikui vipo hivyo hivyo vipo katikati ha kwenye mfereji wa paja na korodani je huo ni ugongwa gani ....?
0 Reactions
6 Replies
938 Views
Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu (stillbirth), kulingana na wanasayansi. Katika utafiti uliofanyika nchini Ghana, wanawake wajawazito ambao...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular diseases) yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika nchi za Afrika kinyume miaka ya nyuma. Kati ya sababu mojawapo ni mabadiliko katika mitindo ya...
9 Reactions
11 Replies
8K Views
Mwenzenu nina tatizo la kula sana siku hizi hata sijui kwanini mwanaume nakula robo tatu ya kilo mlo mmoja na najikuta napata njaa baada ya mda mfupi . Kazi zangu ni za kiproffessional ila zina...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jeni za nguruwe zimeimarishwa kisayansi ili kuweza kusaidia kumaliza ukosefu wa viungo vya mwili katika upandikishaji , watafiti wa Marekani wamesema. Wanasayansi walioondoa virusi ndani ya jeni...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Streptococcal Necrotizing Fasciitis Ndugu wana jamvi, mwenye ufahamu na ugomjwa huu hapo juu naomba anifahamishe matibabu yake, kuna ndugu yangu nimembiwa ana ugonjwa huu, alianza kutoka kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu naona thread nyingi za kukandia dada zetu kuhusu harufu sehemu za siri. Binafsi nawashangaa hawa wakosoaji kwanini wanakuwa wasema hovyo. Wengi wao nimegundua mapenzi wameyajua sasa...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
Wadau poleni kwa mihangaiko Nikienda moja kwa moja, Nina mdogo wangu wa kiume wa miaka 17 mwanafunzi wa f3 anavidonda sehemu za siri za uume anasema vinapona vina vinarudi tena ubichi vinawasha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU ] Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana...
2 Reactions
252 Replies
160K Views
Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale naamini MUNGU ni mwema kwa kila jambo, HEBU TUHABARISHANE NA TUELIMISHANE KIDOGO KATIKA MASWALA YA LISHE NA VIFO. Kabla ya yote yale...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
High Cholesterol Cholesterol is a waxy substance that's found in the fats (lipids) in your blood. While your body needs cholesterol to continue building healthy cells, having high cholesterol can...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Clamyidia. Hii ni katika magonjwa hatari sana Clamidiya.[emoji116][emoji116][emoji116] Clamidia ni ugonjwa wa kuambukiza ambao husababishwa na bakteria zinazoitwa na sayansi kama Chlamydia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapi naweza pata hospitari ya kutibu magonjwa ya ngozi maana hawa c mba ni too much. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waheshimiwa Leo Naomba mnielekeze Ni njia gani ya kuweza kupata Mtoto na Mtu ambay tayarii Amesha ambukizwa Virus vya UKIMWI..!!? Bila kutumia njia ya KUPANDIKIZWA MBEGU... Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mtu yoyote mwenye mba na ambaye ametumia dawa nyingi na hakupona nashauri atumie mafuta ya nazi apake kichwani yanaweza kukuponyesha. Mafuta ya nazi ya kawaida tu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wana jamvi kuna ndugu angu amepatwa na hili tatizo la kupata maumivu makali sehemu za mfuko wa korodani kuuma hali inayosababishwa na mirija ya kutoa damu iliyokwisha tumika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom