Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari poleni na majukumu, naamini humu kuna wataalamu mbalimbali ambao, kimsingi kwa namna moja au nyingine wanaweza nisaidia tatizo langu iko hivi. Siku kadhaa hivi karibuni nimegundua ktk uume...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Nasumbuliwa na tatizo la kuumwa ns joints za parts kwenye miguu hasa vidole vya miguu joints za mapaja hips now maumivu yanaanza kuelekea kama kwenye uti wa mgongo msaada wenu Sent using Jamii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwezi June niliwahi kusimulia kisa hapa Msaada juu ya PEP Wiki saba zimepita sasa toka nilipopata exposure na pia ni wiki tatu Sasa tangu nimalize dose ya PEP, nimeenda kupima tena nimeambiwa...
0 Reactions
5 Replies
932 Views
Nina binti nilikuwa naye katika mahusiano. Tumekutana kimwili mara kadhaa. Kuna kipindi nilisafiri, katika safari yangu nilikaa miezi mitatu, nilipo rudi home nilikutana naye mara moja ambayo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Bila kuoteza mda, ni mtoto mwaka na nusu kiumri, wiki ilopita alilazwa kwa ugonjwa, kaandikiwa sindano, nashukuru Mungu ametoka, alimaliza sindano Jumapil ilopita. Lakini mpaka sasa paja...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
SWALI Nimekuwa nikiona watu wengi hasa nikienda sokoni wanapendelea sana kula ndizi kuliko kuliko matunda mengine. Nini hasa siri iliyomo ndani ya tunda hili? ----------------------- MAJIBU...
9 Reactions
79 Replies
94K Views
Nyama ya nguruwe ni nyama nzuri kiafya kwa sababu si nyama nyekundu sana na ni rahisi kumeng'enywa. Nguruwe pia wana magojwa kama homa ya nguruwe, minyoo. Lakini ng'ombe wana magonjwa...
12 Reactions
59 Replies
36K Views
Heshima kwenu wakuu Mdogo wangu alifanyiwa operesheni mwaka jana mwezi wa kumi, sasa anasema tumbo lake limekuwa likimsumbua tokea mwezi Mei mpaka sasa na amepewa dawa za minyoo ila hakukuwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jeh mwanamke akitunga mimba karibu na siku za hedhi jeh atapata hedhi? Na siku za hatar kwa mwanamke wa mzunguko siku 27-30 jeh siku zake za hatar n zipi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama uz wajieleza Mtu akiumia mguuni au sehem yeyote nmeona hua wanaweka mafta ya taa naomba kuelewa ni dawa
1 Reactions
2 Replies
4K Views
habar wakuu.kama nlivyojieleza mm ni me my age is 23 uzito wangu n 50kg urefu n 168cm nahitaji lishe za kuongeza atleast 7-10 kg sina tatizo lolote na nmeridhika na maisha sina tatizo kabisa na pesa
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Juzi jioni rafiki yangu alikunywa Konyagi. Kwa navyoujua unywaji wake, mi naona alikunywa kwa wastani. Tatizo limejitokeza jana. Vidole vyake vilinata vikawa havichezi, mkono nao ukawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nakula na kunywa damu ya mbuzi,kondoo,ng'ombe pindi tunapochinja. Je kuna madhara ya kiafya?
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa.. Wadau msaada siku ya kumpa mimba mwanamke ambae kila tarehe 28 anaingia kwenye siku zakee,, plz Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
970 Views
Vitunguu vinapendekezwa kwa hali ya upumuaji,ikiwa ni pamoja na kikohozi na homa. Endapo vikitumika vikiwa vibichi, ina aminika kuwa nzuri zaidi. Vina flavanoids na compaund za sulfur, ambavyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kuuliza swali....kusikia mwilini kama vitu vinachoma choma hivi halafu sometimes kama kuna vitu vinatembea mwilini na pia huwa mwili unawasha..Tatizo linaweza kuwa ni nini?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtoto kameza Sh mia mbili,je inaeza kutoka au,msaada jamani nifanyejee Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Wana jamvi, ma professional naomba msaada wenu....kama kichwa kinavyojieleza . Zipo dalili kama homa ,mchoko,kutapika, tumbo kuuma, na vingine vingi. Naomba msaada wenu wadau, Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Nina rafiki wa kike ambaye aliweka vijiti viwili vya kuzuia mimba mwaka jana, Sasa juzi amesema hajaziona siku zake na ana wasi wasi kuwa ana ujazito Je hili suala linawezekana kweli ...
0 Reactions
13 Replies
39K Views
Habar zenu humu. Mke wangu ana tatizo mm niko mbali nae kutokana na shughuli zangu. Ila tokea usiku wa kuamkia leo damu zinamtoka puani mpaka sasa hv hazijakoma ingawaje wamempeleka hospital...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom