Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

About 1 man in 7 will be diagnosed with prostate cancer in his lifetime,( according to the American Cancer Society. ) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Habari wakuu, Mwanangu anatimiza umri wa miezi minne keshokutwa,siku ya jumamosi usiku alianza kuharisha na kesho yake tukampeleka hospitali akapimwa na kuonekana hana malaria bali kuna dawa...
1 Reactions
33 Replies
54K Views
Hivi nkweli kondom inazuia ugonjwa wa ukimwi wakati wa kupeana penzi na mwanamke usiye mwamini (mchepuko) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JE UNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MAFUTA MWILINI, KITAMBI, AU MATATIZO YA TUMBO KARIBU ETERNAL INTERNATIONAL BIOTECHNOLOGY Umuhimu wa mwanadamu upo kwenye kujua hali ya AFYA yake ikoje , watalaamu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kutotibu malaria wakati wa ujauzito, matumizi ya vyakula na vinywaji visivyo salama hasa vyenye gesi na tindikali ni chanzo cha kuzaa watoto wenye maumbile yasiyo ya kawaida ikiwemo mapacha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajukwaa kama kichwa kinavyo jieleza nikwamba nikama mwaka mzima nimekuwa nikifanya kaz yakubeba vitu vizito yani ndoo za rangi 20 litres naweza beba ten pa dey na dumu za maji nabeba begani...
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Symptoms of hernias may suddenly appear, but also may develop gradually. Painful sensations can vary considerably – from no to severe pain. Hernia symptoms should include the presence of convexity...
0 Reactions
33 Replies
18K Views
Naombeni msaada jamani sikio la kushoto linaniuma nimetumia dawa,nyingi linatulia kidogo tuu pia linatoa harufu # plzzzz Drs naombeni msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Habari za asubuhi wakuu Napenda kuuliza je mwanamke mwenye ujauzito ataacha kushiriki tendo la ndoa baada ya ujauzito kufikisha miezi mingapi na atashiriki baada ya kujifungua ipite miezi mingapi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejiuliza maswali mengi sana Ila sijapata jibu, Luna kijana tumemzika leo kwa bahati mbaya alikuwa ni HIV Positive na alikuwa anatumia hizi dawa lakini baada ya kuona amekuwa na afya nzuri...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hasa shule wa wasichana huwa kuna ugonjwa unaitwa Chekelea... wataalamu tunaomba mtujuze kama n kweli pia sababu zinazo sababisha ugojwa huu hatari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wakuu Je kondomu ikipasuka wakati wa tendo .,je inaweza kuleta matatizo mfano maambukizi!? Kama unayeshirikiana nae ana tatizo au maambukizi yanachukua zaidi ya masaa 24 !??
1 Reactions
5 Replies
767 Views
Wataalamu naomba kujua madhara ya kutumia valium kupita kiasi tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Naomba kujua mzunguko wa hedhi kama n mrefu au mfupi Kwan anaingia last three month katika tarehe hii mwez wa nne tarehe15, mwez wa tano tarehe13, mwez wa Sita tarehe10 na Mwez wa Saba tarehe14...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Salaam wakuu. Naomba wataalam wanijulishe kama kuna njia ya muda mrefu ya uzazi wa mpango kwa wanaume, njia ambayo ni easily reversible.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg husikeni na mada tajwa tafadhar; mimi ni mwanachama wa mfuko wa bima wa nhif; miwani yangu imeharibika ngependa kupata nyingine kwa kutumia nhif yaani wanilipie gharama ya miwani. Nnaomba...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Unaweza kuwa na mtoto au hata ndugu mwenye kuzaliwa na moyo upande wa kulia bila kujua kama ilikuwa hakupata shida yoyote toka kuzaliwa. Tatizo lao kubwa wenye moyo kulia ni kupata maambukizi ya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nina miaka mitano sijawahi kukutana na mwanaume. Nimefanya mapenzi naumwa sana tumbo siwezi hata kutembea. Naombeni ushauri.
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Naomba kueleweshwa juu ya hili swala je mwanamke asipoona siku zake hata kwa miezi mitatu hivi je anaweza pata mimba kama inawezekana naomba kueleweshwa inatokeaje?? Karibuni kwa msaada Sent...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Back
Top Bottom