Wakuu salama,
Takribani kama wiki mbili au tatu, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ameanza tabia ya kujishika mara kwa mara kule kwa babu wake.
Hii hutokea wakati wowote...
Wakuu habari nina mtoto wangu ana miaka sita sasa meno yake yakiwa madogo yalianza kuharibika na kukatika na ya mbele ya juu yalikatika kabisa kwenye ncha ,,,,sasa moja wapo likang'oka na kuota...
1.Mtindio wa ubongo ni nini?.
Ni tatizo la kiuneurologia( mfumo wa fahamu) unaohusisha ubongo na mfumo wa neva za fahamu.
Tatizo hili hasa huathili sehemu ya ubongo ambayo inahusika na misuli ya...
habari wana jamiiforum
mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona
Tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti...
Habari zenu waungwana, aisee Nina tatizo la mguu inawasha kwwnye unyao, mpaka inanikosesha pozi sasa, nimekuja hapa kutafuta msadaa kuna watu wanajua mambo mengi, na hata kuyatolea ufumbuzi, kwani...
Kwenu madaktari na wenye ufahamu. Kuna imani kuwa mtoto wa miezi nane akizaliwa anakufa, na huku wa miezi saba anasurvive. Nini kinapelekea hiki.?
Mtoto wa miezi nane afe, na mtoto wa miezi saba...
Jamani naomba kufahamishwa, mwanangu(kike) ana miezi kumi na mmoja ila hakuwahi kutambaa..sai ivi anasimama na kutembea kwa kushika vitu. Je kwa umri wake ni sawa kuwa ivo au amechelewa.
Ndugu wana jf nataka kujuzwa kuhusu uvumi uliopo kuwa mtoto akifanyiwa tohara umri mdogo basi uume wake huwa unakuwa mdogo ukiringanisha na atayefanya tohara akiwa mtu mzima
Sent using Jamii...
Wakuu naomba mnijuze kati ya dawa za mmasai na hizi za kisunna wanauza maustadh kwenye maduka ya madawa yao zipi zinafanya vizuri katika tiba? Nisaidieni ili niamue kwenda kwa masai ama ustadhi
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na...
Let me jump directly to the point. Hivi ni kwa nini mwanaume fulani anakuwa na kaumbele kadogo mno ka uume na mwingine hapana?
Mi sababu yangu moja inaweza kuwa kumfanyia tohara mara tu baada ya...
HELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya...
Habari, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Nimekuwa na maumivu ya mwili viungo haswa upande wa kushoto toka shingoni, begani, mkononi, kwenye nyonga mpaka mguuni. Pia kichwa kimenisumbua muda...
Ninatatizo la kujihisi mwilini haswa kwenye mbavu,miguuni na kichwani kuna vitu vinatembea mwilini haswa mida ya usiku.
Msaada wenu wanajamvi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari humu ndani....
Nahitaji ushauri wenu hapa...kuna binti nina uhusiano naye kwa kipindi cha miezi mitatu....tangu nianze naye uhusiano kaona siku zake mzunguko mmoja tu mara mbili badala ya...
Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atasex na mwanaume mwenye uume mrefu.
Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus...
Pearl Cantrell, 105-Year-Old Woman, Says Bacon Is Key To Longevity
A 105-year-old Texas woman who worked a life of physical labor and mothered seven children revealed the secret to her longevity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.