Proplylene glycol
Glycerol monosteate
Polyglcerol monosteate
Or all known as Emulsifier (E1520,E475 and E471).
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha topic kinavyosema, naombeni ushauri juu ya hili la kula kwa mtoto wangu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane.
Amekua hapendi kula kabisa na tumemjaribu kwa kila chakula...
...
JINSI PUNYETO (MASTURBATION) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME.
0687744030
Kama wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na...
KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA
BAFUNI AU CHOONI.
*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza [emoji371]kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya...
Doctor mama yangu ana pressure ya kupanda je anaruhusiwa kutumia asali na maziwa je anaruhusiwa kula miwa pia.ntashukuru kwa majibu yako.
IRON LADY!!!!
Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni.
Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote.
Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna...
Unywaji wa pombe ni suala la kihistoria,pombe imekuwa ikitumiwa katika jamii nyingi kote duniani toka karne na karne kama kinywaji na kiburudisho. Ukiachia kuburudisha pombe imekuwa na madhara...
Hello member nimepata hamu ya kufaham ukweli kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu maana una shambulia sehem nyeti za miili yutu hasa mapafu n.k, je kwa MTU ambae aliugua na kutibiwa anaweza kulud katika...
Habari za mchana!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, mwanzo nilikuwa naishi Pwani, ila nikahamia mkoani kikazi na familia yangu.
Lakini Pwani bado nika makazi pia, basi wife akatoka mkoa...
Natanguliza shukrani zangu kwenu wana Jamvi.
Leo nakuja kwenu kuomba msaada wa uelewa juu ya mambo yafuatayo kuhusu watoto :-
1. Je, ni hali ya kawaida kwa mtoto wa miezi miwili kasoro...
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASIKINI
"Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela...
Happiness Massage inatoa huduma ya Massage kwa dakika 15 bure kwa Watu wenye matatizo ya mgongo. Weka taarifa zako hapa ili ufahamishwe utaratibu wa kufika.
Happiness Massage,
Lamada...
FAIDA ZA TANGO
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.