Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mtoto wangu anaugonjwa wa jipu ambalo likiiva na ukalikamua baada ya miezi mitatu linaludia tena nimejaribu kumpeleka hospital kunawakati dawa alizo pewa...
Aman iwe kwenu wakuu.
Wakuu nina ujauzito wa week40, lakini mpaka sasa naona kimyaaa mambo hayaja nichanganyia, napata maumivu sna hasa ya kiuno na mgongo.
Je nikawaida niendelee kuvumilia au...
Jamani mi naomba nieleweshwe kwa wale watu wa biology.
Kuna mdada aliekuwa mpenzi wangu kashajifungua mtoto ana kama miaka miwili hivi na sio siri yule mtoto anafanana na mimi aslimia mia ila...
Habari zenu wana JF.
Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na...
Wakuu na madaktari mliopo jamvini.
Naomba mnijuze. Nina mjomba wangu ana miaka karibu 90 na amefanyiwa vipimo na kuonekana kuna maji katika kichwa chake yaliyosababishwa na mgando wa damu...
HIV kirusi kinafahamika kwa jina la retrovirus jamii ya Lentivirus,RNA ,spherical shape,diameter of 80-100nm. africa klipewa jina la hiv kutokana na tabia yake ya kuharibu kinga haraka sana zaid...
Kama uzi tajwa hapo naomba kujuzwa madhara ya diclopar Kama kidonge cha kutuliza maumivu mfano mtu anapoumwa na Jino akiweka kwenye jino linalouma Mara...
Habari wakuu
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo
Ahsanteni
Ndugu wana body naomba kujua dawa sahihi ya ngozi kuanzisha vijiuvimbe vinavyo washa then vinakua kadri siku zinavyo endelea. Kitaalamu huu ugonjwa unaitwa(KELOID).Naomba kuwasilisha.
Jamani wakuu, ningependa kujua ukweli wa hili swala...
Kiukweli, unapoenda kunyoa saluni.. Unakuta mashine za kunyolea zimeshawanyoa watu wengi, tuchukulie mfano imeshanyoa mtu mwenye virusi...
Wakuu naamin mko salama,naomba msaada tatizo langu ni mguu wa kushoto yaan ni kama unawaka moto kwenye kisigino na kanyagio,Nina miez mitatu ila sasa nahisi kuongezeka maumivu.msaada tafazal
Sent...
Habarini wana Jf Doctors...
Nahitaji kujua sababu zipi hupelekea mimba kutokutunga.
Nikimaanisha mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 ambao haubadiliki mara kwa mara ...
Ambae amejaribu kupata...
Je, umeshawahi kufikiria kuacha kutumia viazi? Nina habari ambayo inaweza kukushangaza kuhusu viazi mviringo. Siyo tu kwamba viazi mviringo ni vitamu na vinabei nafuu, kuna faida nyingi za kiafya...
Habari wanajamvi.
Kichwa cha habari kinajieleza. Moja ya mada za kitaifa zosizo rasmi na zinazo trend kwa kasi ni hii ya nguvu za kiume.
Nimejaribu kufuatilia matangazo yake promo zake na dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.