Ndugu wanajukwaa naombeni msaada jinsi ya kupona hizo kitu ni chronic zaidi ya mwaka sasa nawasilisha.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Jamani naombeni ushauri. Nina umri wa miaka 33 kwa sasa na ni mwl sekondari. Ninasumbuliwa sana na kichwa na kimeanza muda mrefu. Kwa kumbukumbu zangu nahisi niliumia utotoni, kuna siku tulikuwa...
Watu wengi huanzishiwa dawa mara tu akipimwa na kukutwa na sukari ipo kuanzia 10 -12 haswaa wale wa aina ya pili ya.kisukari, kimsingi ni makosa.angalia iwapo kiwango cha sukari yako katika damu...
Ugonjwa huu upo sehemu za siri huwa unawasha ukijikuna baada ya muda kidogo unapata naumivu makali, Ngozi ya korodani kuna wakati inakakamaa na kutoa magamba yaani kama nyoka anavyojitoa gamba na...
Hivi ni dalili gani za mtu anayekuwa na kipara, Naona kama vile nanyemelewa na kipara na ni sababu gani za mtu kuwa na kipara......
Nywele za kichwa ktk utosi zinawasha,Ndoto nyingi nyingi usiku...
*FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI (Tsh 50,000/=)*
1 Massage inaboresha afya ya ngozi.
2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.
3. Massage husafisha ngozi na kuboresha...
Natumai mko wazima wote, jamani hapa kidogo nimetatizwa jinsi ya kujua kama mpenzi wangu ametoa mimba wiki tatu zilizopita kwani jinsi anavyo behave kidogo simuelewi na utaalamu huo wa kujua kama...
Habari wana Jf mm nikijana wa miaka 23 nimekuwa na tatizo la Unene hali hii kiukweli inanitesa sana
Kuna rafiki yangu amenipa ushauri ninunue dawa za kupunguza mwili je hizi dawa nikweli...
Habari wandugu,
Jamani jana kuanzia jioni jioni nilianza kujisikia muwasho kwenye ngozi, na ilipofika usiku it got worse nikikuna inatoka uvimbe uvimbe nikachukua baby powder nikajipaka kwenye...
Wanajamii,
Hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha, nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu, tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili...
Tatizo hili la kuwa na majimaji ukeni husababishwa na nini? Utakuta upo na mkeo mnafanya tendo la ndoa halafu katika "in and out" unasikia sauti "chubwi chubwi" kutoka ukeni. Kwa yeyote anayejua...
Namshukuru Mwenyezi Mungu mke wangu amejifungua salama baada ya miezi kumi ya ujauzito. Wakuu naomba kufahamu vyakula gani anaweza kula mama aliyejifungua ili aweze kurecover haraka?
Mtoto wangu ana miez miwili leo cku ya pili anajisaidia marenda renda mara kwa mara japo Co mengi lakn imekuwa too much, nimpatie dawa gan ili iache hali hiyo? Au ni kawaida nipo njia Panda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.