Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

*OFA YA MASSAGE YA MGONGO BURE- DAKIKA 15* *Happiness Massage Services* inatoa ofa kwa wale wenye matatizo ya mgongo watafanyiwa Massage ya Mgongo *BURE.* Tafadhali kama una tatizo hilo na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Za leo. Husika na kichwa cha habari kama hapo kinavyosema, Mimi nina zaidi ya miaka mingi Sinywi maziwa ni kinywaji ambacho nimejitahidi kukinywa ila nimeshindwa kabisaaaaa.....nikinywa natapika...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
1 Reactions
71 Replies
14K Views
Pamoja na kuwa na ujauzto,mwez wa pili sasa, maziwa yake madoogo. Kama ndo yanachomoza,hamna dalil ya kukua sana. Akilala na mgongo kama unaona madoogo. Ni wa 1992. Je,kuna tatzo hapo?
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Je mronge unaweza tumika na mama wajawazito?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujifunza dalili za kansa kwa ujumla. Ni dalili zipi zitamfanya mtu agundue kuwa ana maradhi ya kansa? Mokoyo
0 Reactions
7 Replies
32K Views
Wakuu, Kichwa cha habari chahusika. Meno yote (magego) yanauma sana, hadi uso umevimba. Nikiswaki natema damu tupu. Nimeshaenda Hospital lkn Bado, wamenipa hydrogen peroxide. Je ni dawa ipi nitumie?!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujua kama kuna madhara yoyote ukifanya mapenz ukiwa na vidonda vya michubuko ya ajali? mana kuna mtu kanambia nkinjunja basi vidonda vitachelewa sana kukauka
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Salam zenu wadau. Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Nimepimishwa HIV/AIDS kwa lazima aisee. Kweli huku si Tz Jamani nipo hospital, kakidonda kamenitoka mdomoni kwa mbaali nikahisi ni homa za usiku.Ss kuja hapa nimepimishwa hadi ngoma hatariiii...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari madocta Nimepewa hiyo dawa baada ya kugundulika nina PID.wakati wa vipimo iligundulika nina ujauzito pia.kuna ndugu yangu kaniambia wajawazito hawaruhusiwi kutumia hiyo sindano.je zina...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Sina shaka mungu ametujalia kuiona ck nyingine tena ambao hamkufanikiwa kusimama na kutembea mola awape wepesi tena naomba kujua kupitia jukwaa hili kwani kuna wataalam na wabobezi wa mambo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana jamii forum naombeni msaada mi nikilala na mwanamke nikitumia mpira/kondom nakuwa napata shida sana wakati kitendo kinaendelea Huwa najisikia mwili/uboo una banwa sana na ninashindwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaaam wanabodi. Poleni na kukura kakara za hapa na pale. Mada: Nipo na mdogi wangu amepata tatizo la uvimbe kwenye ini. Alianza kujisikia kama uzito flani kwenye tumbo na baada ya kuona tatizo...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
  • Closed
Samahani wamama na madokta malipo huku Naomba kufahamu mwanamke asiekua na kizazi hua anableed maana rafiki angu alitolewakizazi na hua anapata tone la uchafu kwenye Siku zake anapenda Kujua ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Massage ni muhimu katika mwili wa mwanadamu hasa pale unapochukulia kama ni sehemu ya ratiba katika maisha yako yote. Hii inatokana na kuwepo kwa faida mbalimbali baada ya kufanyiwa massage...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. naomba msaada kwa anayefahamu huu mti tajwa utaitwaje kwa kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nilikuwa addicted kwenye punyeto baada ya kuacha kuna vitu vinanijia kwenye mawazo na vinaninyima raha.Wakati mwingine nasikia hofu,yananijia mawazo mabaya niki waangalia watu nahisi kama...
0 Reactions
6 Replies
758 Views
1 kumvarisha pete 2 kumkata kabisa govi?? Nahitaji kumtahiri mwanangu ila sijui ni njia gani hasa nzuri na safe Pia ni umri gani mzuri haswa wa kutahiri???
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom