Wanajf kwa wale mliowahi kusumbuliwa na amiba na sasa mmepona njooni hapa mnishauri kitu,maana hawa viumbe wananisumbua sana.Nataka kujua mliponaje maana mimi nimewatibu sana.Mara ninaambiwa bado...
Jamani wana JF, napata maumivu makali sana na sijui nini tatizo
1: maumivu ya tumbo la juu kama mtu amemwagia maji moto, kuunguruma, na linauma zaidi pale ninapokuwa na hofu ya kitu Fulani
2...
Hello JF members! Naomba kufahamishwa umuhimu wa mafuta ya ngamia katika mwili wa binadam na matumizi yake.
Jana tumechinja na kuuza nyama ya Ngamia katika kusherekea sikukuu ya Eidd. Nimepata...
Wapendwa..
Leo tumepoteza ujauzito wa mke wangu wa takribani mwez mmoja na nusu.
Alianza kulalamika maumiv ya tumbo kisha bleed ilianza.Tuliwah hospital akapatiwa Dawa tu kisha kuruhusiwa kurud...
-Upi ni wakati sahihi wa kuacha kushiriki tendo la ndoa wakati wa ujauzito?
-Ni madhara yapi (ama faida zipi) awezazo kuzipata mwanamke akiendelea kushiriki tendo mpaka muda wa mwisho wa ujauzito?
*NGUVU ZA KIUME*
Tatizo la nguvu za kiume limekua sugu miongoni mwa jamii zetu waathirika wakubwa wakiwa vijana
Tatizo hili limegawanyika kwa aina mbali mbali kutegemeana sana na chanzo cha...
Ni miaka 15, sasa nimeugua tumbo nawashukuru wanajf kwani hamkunitupa kila nilipokuja kuwaomba ushauri.
Nilizunguka hospitali nyingi hadi Muhimbili lakini ikawa bila-bila!Namshukuru sana dakatri...
*CARDIOLOGY IN TOUCH.*
```Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:
1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jioni unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.
2. Umechoka...
Hello DC,,, ni miez kadhaa sasa nasumbuliwa na meno magego (kulia na kushoto) hasa ninapokula chakula nahc yametoboka Naomba ushauri na msaada tafadhali maana inafika wakati nakichukia chakula...
Kwa wanawake/wadada mliowahi kufanya hiki kipimo cha HSG je mlifanikiwa kupata ujauzito, je kuna njia ya kupima tofauti na kipimo hiki maana kinauma sana usiku siku hiyo sikulala mpaka niliumwa...
WAKATI katika jamii nyingi ikiwa ni fahari kuzaa watoto mapacha, kitu ambacho wengi hawana habari nacho ni kwamba uzao wa aina hiyo ni ‘hatarishi’ iwapo hautabainika mapema hasa katika mataifa...
Habari waungwana,
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia vijana wengi wakizungumzia kuhusu vumbi la Kongo kwamba inaongeza pulinge pindi unapokutana na mpenzi wako kwenye kupeana raha za...
Wanajamvi:
Nimeenda hospitali nikaambiwa ninatakiwa nichome dawa inaitwa Ant-D..na nitakapojifungua nichome tena..nimeenda pharmacy kuulizia bei yake ni 180000...naomba mwenye uelewa na hii dawa...
Naomba kujuzwa zaid kuliko nijuavyo kuhusu hicho kipindi katika mambo ya uzazi hyo OVULATION (sjui nimepatia kwenye kuandika)na hyo Fertility window ni kipindi gani na kipi kinaanza na huwa...
Mmesemwa sana ila hamsikii na leo ‘ nawachana ‘ live / mubashara humu JF kuwa tafadhalini hebu tofautisheni basi kati ya Kung’oa misumari katika Mabati na Kung’oa Meno yetu haya yaliyo katika...
Wakuu salam,
Naomba kufahamishwa kama Panadol inafaa kwa mtoto,ana miaka mitatu na miezi Kitano. Nimemgundua amevimba shingonj kama jipu au tezi upande wa kushoto,sasa nilipo SAA hizi maduka...
Kitambo kidogo kiasi cha wiki mbili sasa nimekuwa nikitumiwa picture hizi za mdudu huyu na hata nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana nazo sana zikiwa na tahadhari kwamba...
Ndugu zangu, mke wangu anasumbuliwa na maradhi ya diabetes (kisukari). Anatumia dawa za Gema II. Zimemsaidia kiasi kwamba, pamoja na masharti ya vyakula, kiwango cha sukari sasa ni 5 hadi 7. Hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.