Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf,napenda kujua hospitali ama zahanati ambayo ni nzuri kwa ajili ya kutahiri watoto kwa hapa dar,na pia ningependa kujua na gharama zao za kutahiri,natumahi mtanisaidia kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari ndugu zanguni, Kwa mlio wazoefu wa kukaa sehemu zenye baridi Naomb nifahamishe, njia mlizo au mnazotumia ili kuzoea na kukabiliana na hali ya hewa ya baridi katika mwili.. Maana kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni kaka yenu nina mpenzi tumefanikiwa kupata mtoto ambaye tunataka kabla ya mwingine kupatikana huyu awe ni mkubwa angalau miaka mitatu. Sasa katika kuitimiza ahadi hiyo wifi yenu aliwekewa...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Angalia kitakachokufaa chukua kisichokufaa kiache.
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Ndg madaktari, mke wangu anapata hedhi isiyoeleweka. Mathalani aliingia mp tar 1 may na akaja kuingia tena tar 11 june takriban siku 40 hizo, au wakati mwingine siku 30, 35 zaid au chini ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar jf Naitaji kujua tofauti ya mwanamke mrefu na mwanamke mfupi kwenye kushika mimba... Kumekua na tetesi eti mwanamke mfupi hushika mimba kwa haraka zaidi coz kizazi chake kipo karibu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello everybody! My friend is known HIV positive and was recently diagnosed during insurance check up. He (my friend) got pricked from a rose thorn and bled. Now I also got pricked from the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu ..Bibi yangu anadai mikono yake na miguu inamuuma na imevimba anadai alienda hospitali na kupewa dawa za Arthritis na Rheumatic hakupona pia ametumia dawa za maumivu bila mafanikio...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndugu wana jamvi naomba msaada mama yangu anasumbuliwa na mguu,akikanyaga anahisi kama kwa ndani kuna sindano inamchoma.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Salam wajuvi. Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini? Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Kwanza napenda sana kuwashukuru wote ambao huwa mnanitia moyo katika safari yangu ya kupunguza uzito. Katika shauri nilizopata kuna mdau alikuja PM akaniambia nichemshe giligilani ninywe kila...
1 Reactions
88 Replies
12K Views
Si mwanaume au mwanamke mara pua zikipitisha hewa yenye perfume (harufu) mbaya wengi hutema mate. Kwa wajawazito huhusiana na ishu za hormone, je kwa wengine ambao sio waja wazito hua mnatema mate...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari jamani, Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?! Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake...
2 Reactions
119 Replies
22K Views
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Mwenzenu wiki nzima mgongo unaniuma bado sijajua tatizo ila ningeomba kujua labda ni dalili za ugonjwa gani..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mtoto anamiezi miwili lakini analia sana.. Si mchana si usiku.. Tumejaribu remedy mbalimbali ikiwemo kumtoa gesi tumboni kwa kumlazia tumbo lakini bado hali tete.. Sababu inaweza kuwa nn?
0 Reactions
124 Replies
19K Views
Nimekaa kwenye gari na mtu ambaye nahisi ana TB na hajaanza kutumia dozi. Anakohoa kikohozi kikavu sana na kwa muda mrefu. Huko nyuma alishawahi kuugua TB na kupona. Kikohozi nilichokiona leo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello JF Doctors, Mwenzenu nina tatizo la kupiga chafya kwa miaka isiyopungua mitano, tatizo huongezeka ninapokunywa maji mengi basi usiku hakuna kulala ni makamasi na chafya ndo mpango...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom