Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kumekuwa na dawa nyingi za malaria sokoni mpaka mtu unashindwa uchague ipi. Hata hivyo ufanisi wa hizi dawa nao ni wakutiliwa mashaka! Ipi dawa yako unayoiamini ya kutibu malaria?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau Niambieni Chanzo Cha Hernia Ni Nini Babu Ana tatizo Hilo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za usiku wapendwa!Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Wadau mimi nipo Mwanza nina shida na mafuta ya peppermint oil,naomba kama kuna mtu anajuwa wapi yanauzwa anielekeze.Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti kwa mwanamke ambae siku zake ni abdormal , yani anaingia period baada ya miezi miwili . Je siku zake za hatari zinahesabiwaje! Ni siku ipi ambayo anaeza pata ujauzito!! Natakuliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
760 Views
Pamoja na kuwa ni ugonjwa unaotokana na kuzidisha kula lakini jamii nyingi za kiafrika zimekuwa zikiutafuta kwa hali na mali ili kuweza kupata heshima kwenye jamii.Mtu mwenye ugonjwa huo hupewa...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Za Humu ndani wadau.. Naomba kuelkezwa psychiatrist mzuri kwa hapo Dar.. Natokea mkoani nimeambiwa muhimbili kuna foleni....pia Kama ntapata nmbr za sim
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Poleni Sana kwa majukumu ya kujenga Taifa.. Mzazi wangu Wa kike (Mama) umri kiaka 50s anasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi according to vipimo vya madakari. Aliandikiwa dawa na anakaribia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers.The Title Expresses Itself.Keep On Commenting For I Know Jf Is Every Thing.I Also Welcome Our National Language Iff Necessary.Thank You.
2 Reactions
5 Replies
964 Views
Habarini Naomba kuuliza kwa mkoa wa mwanza ni hospitali gani naweza kupata vipimo vikubwa vya HIV ? Lengo la kuuliza ni kutokana na matokeo tofaut ninayoyapata kwa mdogo wangu aliepata ajali miaka...
1 Reactions
7 Replies
864 Views
Nimefanya jitihada za kujipunguza uzito ila naona nimeshindwa nazidi tu kuongezeka siku baada ya siku. Wenzangu wakiongeza mahela mimi naona naongeza kilo. Mazoezi nafanya kidogo naacha naona...
2 Reactions
90 Replies
13K Views
Wadau vimeota vipele kuzunguka uume kwa ndugu yang hilo no tatizo gan
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Wakuu msaada mtu mzima anakula kama kawaida but anaweza kaa hata siku 3-4 hajaenda .Atumie Dawa gani?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Yapata wiki mbili sasa, kila nikitoka kuoga huwa mwili wote huwa unaniwasha... msaada tafadhali
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naamini jpl iko nzuri Kwa kila alie jaliwa kuiona ktk pita pita zangu za kupiga vibarua sehem tofauti tofauti nimegundua hz dawa za kuongeza siku za kuishi hazitakiacha kizazi hiki salama mbaya...
0 Reactions
15 Replies
37K Views
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, je mwanaume anaweza akapata maambikizi kwa kunyonywa mgegedo na mwanamke iwapo ameathirika? Vp kwa mwanaume iwapo anamnyonya papuchi mwanamke ameathirika?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii Dawa , nimeiaminia sana . Iko poa sana
3 Reactions
3 Replies
5K Views
Nawasalimu wote, Leo napenda kujua na kufanya kautafiki kidogo juu ya miili yetu. Napenda kujua kama huwa UNANYOA, KUPUNGUZA au KUACHA ZILE NYWELE ZETU ZA SEHEMU ZA SIRI. Pia tufahamishane kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mpenzi wangu tumepanga nimpe mimba lakini tukifuata zile tarehe mimba hainasi. Badala yake tarehe zinabadilikabadilika. Nishaurini nifanye nini au nitumie njia gani maana mwenyewe nakuwa naye kwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hemachromatosis ugonjwa ambao unatibiwa kwa therapeutic phlebotomy Kwa post nyingi zaidi za kushangaza, kufurahisha na kuelimisha, tufollow kwenye mitandao ya kijamii. Hapa jf, facebook...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom