Habari zenu wakuu
Naimani hapa wengi mmenizidi umri (shikamoon)
Me ni binti (24)Nina tatizo la kuumwa na viungo kama
Viungo vya mikono
Miguu
Kiuno
Mgongo
Yapata miez kama miez minne sasa
Lkn...
Katika mji wa Guangzhou nchini China, kuna kiwanda kikubwa zaidi cha mbu duniani, ambacho kinazalisha mbu wa kiume zaidi ya laki 5 hadi milioni 1 kila wiki.
Mbu wote wanaozalishwa katika kiwanda...
Za muda huu jamani mtoto wangu anasumbuliwa na vijipu, mara ya kwanza lilitokea nikampaka dawa ya majani likatoweka baada ya wiki mbili limetokea tena sehemu nyingi msaada pls
Habari wandugu mwenzenu ninakabiliwa na tatzo LA ucngiz wa ajabu kiais kwamba hata nikilala mapema ucku, asubuh nikitulia Kwa muda mfupi kabla tu ya SAA NNE ntasinzia .naomben msaada Kama kuna...
Habari sana wana jamii : nilikuwa naitaji msaada Wa kujuzwa kama inawezeka ikawepo dawa ya KUWA na kipara moja moja bila kunyoa naitaji kuwa na kipara cha bila kunyoa yani kiwe forever
Hiyo hiyo...
MORNING AFTER PILL NI NINI??
Morning after pill ni aina ya uzazi wa mpango ambayo inazuia mimba pindi unapokua umefanya tendo la ndoa (sex) siku za hatari(danger days) bila kinga ,ama kinga...
Habari za mda huu wakuu.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Naomba kuuliza ni sababu zipi zinazosababisha masikio kutengeneza nta/uchafu mwingi ambao hupelekea masikio kuziba..
Pia...
Wakuu heshima kwenu.
Ki msingi hasira inanizidia hapa nilipo.Nashindwa kula,kulala wala kuangalia hata screen.
Pamoja na kupata taarifa nzuri jana za mtoto wangu wa ujana hot kuwa kaongoza...
Haipiti siku utasikia Muhimbili wamefanikisha hili, mara sijui wameweza kupandikiza kitu gani sikioni, mara Moyo umewekewa betri, yote hii ni sawa lkn ingekuwa vizuri zaidi na kwa manufaa kama...
Ukiwa na kipara Msumbiji inabidi uwe mwangalifu sana kwani waganga wa kienyeji wanatuma watu kwa malipo kuwasaka na kuwauwa kwa imani za kishirikina na utajiri wa fasta fasta kama Albino...
Habari wakuu!
Nina mtoto mwwnye umri wa mwaka mmoja sasa ana matatizo ya miguu. Nimeligundua hili baada ya kufikia hatu hatua ya kutaka kusimama, ndipo nikajua hakanyagi saw a!
Anatumia upande...
IKIWA unakabiliwa na hali ya msongo wa mawazo, unashauriwa kuanza kunywa mara kwa mara maziwa, hasa yatokanayo na wanyama kwani yana uwezo mkubwa wa kupunguza tatizo hilo.
Akizungumza na...
Kwamba eti......
Ukijiunguza na Pasi usiposikia ule moto au maumivu basi ni jibu tosha kuwa una Kisukari?
Ukijikata ama na Kisu au Wembe kwa bahati mbaya kisha hiyo sehemu au hicho Kidonda...
Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu...
Wana Jf msaada ama ushauri juu ya tatizo la bint yangu ni kachanga kana umri wa mwezi mmoja na week sasa lakini tumbo la mnyima raha kabisa analia mno alafu choo kikubwa yapata cku 3 hajapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.