HOW HIV POSSITIVE SOMETIME CAN TEST NEGATIVE?
HOW IS THAT POSSIBLE?
SO WHICH TEST IS BEST TO CONFIRM IF SHE IS HIV NEG OR POSSITIVE IF SHE/HE IS ON TREATMENT BECOUSE IF YOU TEST WITH PCR YOU...
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kupambana na maradhi yaliyokuwa sugu kwa dawa za kupambana na vijidudu yaani antibiotics tatizo ambalo lilikuwa tishio dhidi ya sekta ya afya duniani...
Habari wana jamii forum.
Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikuvutiwa sana na kazi ya ushauri na unasihi jambo lilonifanya kuwa mdau mkubwa na mfatiliji wa makala, vitabu na maandiko yanayohusu...
Wabobevu wa masuala ya afya ya mwanadamu,nimekuwa gizani kwa muda mrefu juu ya huu mstari ulionyooka katikati ya tumbo kwa mwanamke mjamzito,huwa una maana yeyote kuhusiana na ujauzito?
Habari za hapa jf?
Samahani naomba kujua kama ni tatizo au ni kawaida kwa mtoto wa umri wa miezi 3.5 kunyonya kwa kubeep. Yaani ananyonya kidogo sana alafu anakua hataki tena.
Bado hajaanza...
Ahsanteeni kwa woote walio nishauri kutumia pilipili manga katika uji kwa mama asietokwa na maziwa na alifanya hivyo na hivyo, hivi sasa maziwa yanamwagika kama bwawa la Mtera ahsanteni kwa...
Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
Mjamzito anapaswa kuepuka ulaji wa kupita kiasi ili asinenepe kupindukia (Obesity). Kulingana na kijarida kiitwacho Krause’s Food, Nutrition and Diet Therapy, mtoto anayezaliwa akiwa na uzito wa...
Mtu na akili zako timamu unampeleka mkeo kwenda kupima jinsia ya mtoto alioko tumboni, ili iweje kwa mfano. Au unaenda kupima DNA ya mtoto ikusaidie nini.
Mdada unapanga foleni kupima...
Habari zenu humu jukwaani,
Mtoto anapokuwa kwenye Mfumo wa uzazi/uteras anapokea damu, chakula n.k kutoka kwa mama. Inawezekana vipi kwa mama ambaye ana maambukizi ya VVU kuzaa mtoto ambaye...
Habari zenu jamani nilikuwa naitaji kufaamu tatizo hili linasababishwa na nini mwanamke kupata maumivu kila wakati wa kujamiiaaa na na mwenza wake na kuwa mkavu kabisa na kupelekea kutofurahia...
Nimekuwa nikisumbuliwa na jicho jekundu kwa muda wa kama mwezi mmoja hivi. Kwanza ilipoanza nikajua red eyes so drops na maji ya uvuguvugu nikatumaini ingesaidia.
Imeenda drops zikaisha nikaenda...
Wakuu habari za majukumu.
Mwanangu anasumbuliwa na kigugumizi anashindwa kuongea mpaka anafumba macho.
Wakati anazaliwa hakuwa na hali hii, imemuanza baada ya kitimiza miaka miwili na nusu Na...
Za jion wana jf, polen na majukumu ya kutwa nzima.
Naomba kuuliza, kuna uhusiano gani kati ya maumivu ya nyonga na ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa?
Pili naomba kujuzwa je, majimaji meupe kama...
Habari wana jamii, naombeni msaada wenu juu ya hili kwakweli sielewi ni nini hasa,
Mimi nna mpenzi wangu ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa na tumeshiriki ngono sio...
Wakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.