Mimi ni kijana wa 29, Nimekuwa nikipata wakati mgumu kuhusu afya yangu, afya niliyokuwa nayo kipindi cha nyuma sasa naona kila siku inazidi kupungua, na nimesha kwenda vituo vya afya kupima afya...
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!
Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri...
Wanajukwaa! Salaam;
Kuna ndugu yangu yuko Dar anatafuta dakari wa familia. Akiwa wa hospitali za rufaa itakua bora zaidi ili aweze kusaidia habari za vipimo nk. Hana tatizo la kiafya kwa sasa ila...
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28...
Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali..
Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi...
Wanabodi mimi ni miongoni mwa watanzania ambao hawana mwanga kuhusiana na maswala mazima ya sayansi za tiba.
Majuzi nimeenda hospitali flani hapa kwenye jiji la Bashite nikamkuta doctor mmoja...
Habar wakuu Mim ni kijana mmoja lijali na mstaarabu na sipend kumforce mtu katika mapenz sasa ninahii kitu huwa inaniumiza sana kichwa yan nikikaa muda mrefu bila kujamiana siku nikiwa na mwanamke...
Habari za leo wana jamvi,
Naomba msaada wa kitabibu nimepata ugonjwa wa zinaa nahisi ni gono maana usaa unatoka kwa wingi na pia nasikia maumivu makali wakati wa kujisaidia haja ndogo.
Nimepata...
Nilikua nikisikia tu kuwa unaweza ukashiriki kimapenzi na mtu aliyeathirika na usipate maambukizi, imemtokea kwa bro wangu, alioa miaka miwili iliyopita na kabla hawajafunga ndoa walipima wote...
Hi wadau!
Naombeni anayejua dawa yakuondoa maumivu kwenye goti anijuze. Nilijigonja kwny ukuta zaidi ya mwezi sasa ndo nimeamza kupata maumivu kwnye goti. Nimejaribu dawa mbali mbali zikiwamo...
Wakuu mu hali gani?
hali ya unywaji mwingi wa maji takribani lita 3-5 kwa siku na kuto kukojoa mara kwa mara au mara nyingi kwa mfano:-
MCHANA KUKOJOA MARA 2
USIKU KUKOJOA MARA 1
NA HAJA NDOGO INA...
ninapata maumivu makali upande wa kushoto kifuani....maumivu yanasambaa mpaka kwenye bega na mkononi kisha mgogoni inafikia hatua nashindwa kulala kiubavu kwa upande wa kushoto nmeenda hospital...
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
Naomba ujuzi wakuu, nahesabu vipi ukubwa wa mimba na kukadiria siku ya kujifungua?
*Pia dalili za kujifungua ni zipi?
*kuna wengine wanasema wanachanika matumbo mda ukikaribia Wa kujifungua(kuna...
Helo wakuu,
Ninaombeni msaada, kama kuna mbinu mbalimbali za asili za kutambua kuwa mimba ni yako au hata kama kuna vipimo ambavyo vinaweza kuonyesha maabara kwamba hii mimba ni yangu na vipi...
Habarini waungwana.
Nisaidieni ktk hili, kwa wale watumiaji wa artificial contraceptives, je kuna ukweli wowote kuwa kutumia loop, (kitanzi) kuna-limit sex styles? Yaani unatumia style moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.