Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu, Naomba mnisaidie kwa hili ingawa linaweza kuwa lishaulizwa lakini mimi ni mgeni humu. Hivi karibuni nilijifungua kwa operation lakini mtoto akafariki, nahitaji kujua ni baada ya muda...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari ya mchana, mwenza wangu umri wake (41) huwa anapata maumivu ya wastani anapokuwa kwenye siku zake za Hedhi, hali hiyo humtokea mara chache sana wakati mwingine baada ya miezi 4-6 ndio...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
weka picha
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu natumai mu wazima,nimeona nkimbilie huku maana hospital nishapitia.Kama mjuavyo mambo ya ajira mpya nmetupwa kijijn huku,baada ya wik 2 mwil nahis umechoka,joints znauma kchwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa salamu natumai mu wazima naombeni msaada wenu ni nini kinasababisha kuwa na uvimbe kwa mwamaume pembeni ya ume na pia ni kitu gani kinasababisha uume kupata majeraha ya michubuko hata bila...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
SABABU 3 ZA KUTOTUMIA PLASTIC YA MAJI ZAIDI YA MARA MOJA.. Matumizi makubwa ya maji ya kwenye chupa ni kile kipindi cha jua kali. Wataalam wanasisitiza kutotumia chupa hizi zaidi ya mara...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Ana umri wa miezi kumi sasa. Ametokewa na vijipele vidogo vidogo vinavyomuwasha mwili mzima. Tatizo hili lilimuanza akiwa na miezi 4 hadi sasa ana miezi kumi tatizo bado lipo. Dawa alizotumia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Nini inasababisha kutoka damu kwenye chuchu ya ziwa wakati unaingia kwenye siku zako za mwezi
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Naomba ukweli kuhusu uhusiano wa kitovu cha mtoto wa kiume kudondokea Jogoo na Jogoo kushindwa kuwika ukubwani..
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya vifo hasa kwa nchi zilizoendelea ni matokeo mabaya ya matumizi ya madawa. Dawa zinasababisha vifo vya watu zaidi ya 100,000 kwa mwaka, na zaidi ya watu milion 1.5 wamepata...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Kutokwa na jasho jingi nini shida??na nini nifanye jasho liwe la kawaida
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mim ni kijana umri miaka 28, Nina mchumba wangu nipo nae kwenye mahusiano mwaka wa nne sasa. Ila Ana tatizo ambalo lilimuanza 2014, alipata bleed miezi miwili mfululizo. Akaenda hospital akapimwa...
1 Reactions
8 Replies
859 Views
  • Closed
Naomba kufahamishwa juu hatua za kuchukua ilikuweza kupata huduma ya DNA test kwa nchi yetu(TZ) gharama zake na hospitali gani zinatoa huduma hiyo? Natanguliza shukrani
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Vyakula vya kupiga Vita Ugonjwa wa Kisukari . Juisi ya majani ya kijani,Parachichi,kachumbari ya sukuma wiki na Majani ya ngano.
7 Reactions
19 Replies
8K Views
Wadau namshukuru mungu kwamba mke wangu ni mjamzito. SWALI. Je katika hatua za awali za ujauzito(2weeks--3months) Ni vitu gani ya muhimu vya kuzingatia Ili kumpa afya bora mama Na usalama WA mtoto...
0 Reactions
13 Replies
23K Views
Habari za kazi madaktari.Nina maumivu makali sana ya tumbo katika upande wa kulia wa tumbo,pale zinapoishia mbavu kwa chini kidogo.Hali hii pia ilitokea mwaka 2008 nikiwa morogoro.miongoni mwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ikiwa anazingatia ile ratiba ya chakula ya kitz ya kutwa mara tatu ili asiwe na tatizo la constipation.Doctors na yeyote mjuvi
0 Reactions
3 Replies
38K Views
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata...
3 Reactions
61 Replies
9K Views
nilianza kutokewa na vipelele kwenye vidole ambavyo kukiwa na joto vinawasha nikaanza kutumia cream kama gentrizone lakin havikuisha nikawa naogoe detol lakin wapi nikaenda hospital doctor akasema...
0 Reactions
18 Replies
17K Views
Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kama CHUMVI YA MAWE inafaa kutumiwa na mtu mwenye shinikizo la damu badala ya ile ya kawaida tunayotumia majumbani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom