Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salaaam wakuu Poleni Na majukumu Nimekuwa nikiteseka sasa takriban week ya pili hii kooh limekuwa likiuma hali inayo sababisha Kupanda kwa homa kali na kutapika Nilimuelezea nes duka...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf, Ninahitaji msaada wenu, jana usiku kuna vijana wetu wa kazi wamepigana wakaumizana lakini tuliwapatanisha na mmoja kati yetu akawa anawapatia huduma ya kwanza. Baadae akaenda...
0 Reactions
4 Replies
947 Views
mke wangu alipojifungua mtoto wetu wa kwanza mwaka 2013,punde tu baada kujifungua alichoma ile sindano ya ANT D... ninachoomba kujuzwa,je kwa mimba ya pili ni wakati gani tena atapaswa kuchoma...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani, hivi mtoto mchanga akiwa na matege unaweza kufanya nini ili kuyanyoosha, nilisikia kama mtoto akiwa na matege wakati bado mdogo mifupa yake ni milaini hivyo inaweza kunyooshwa tu. I am...
0 Reactions
11 Replies
25K Views
Wadau naamini jf ni mpango mzima,naombeni msaada wa kiushauri,mtoto wangu ana miezi saba sasa ila hataki kabisa kula,alipofikisha miezi sita nilimwanzishia vyakula vyepesi kama uji,mashed...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Napenda kusomea ophthamology and surgery naomba kama kujua kama baadae unaweza kujiendeleza na pia kwa nchi yetu wagonjwa wa namna hii wapo wengi kama wa maalaria
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Habari za majukumu. Tafadhali naomba msaada wa haraka,nikinywa maji tumbo langu linauma sana hali inayonipelekea nichukie kunywa maji,ninaweza nikakaa hata siku mbili bila kunywa maji ili...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana JF leo ni siku nyingine iliyo njema machoni petu watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu tatizo la malaria sugu, leo nitawapeni jinsi ya kutengeneza tiba ya asili ya malaria sugu na...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nashukuru wote mlionipa ushauri nilipoleta tatizo langu la kujamba sana kila siku. Alfajiri leo nimeenda kumuona doctor nimefanyiwa vipimo vyote vya tumbo sina tatizo lolote pia jana usiku...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wakuu. Kutokana na gharama za maisha kupanda, baadhi ya njia za asili zimegunduliwa au njia za zamani zimeboreshwa.Ukiwa nyumbani, tumia vifuatavyo; 1.Kuvimbiwa - Hali ya tumbo kujaa gesi...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu. Kama kichwa cha habari kilivyo, Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu. Wakuu ninatabia ya kupandwa...
9 Reactions
93 Replies
51K Views
Nimetoka zangu job mida ya jioni jioni, nimechoka kimtindo! Nimepaki ka baiskeli kangu sehemu kununua chochote kwa ajili ya usiku (mlo) Gafla kuna mtu anaiita kwa nyuma, ni mdada ninayemfahamu kwa...
6 Reactions
61 Replies
11K Views
Nina shida,nahitaji ushauri wa ma ma 2 (1)Nina tatizo la Hernia nikifanyiwa operation itanichukua siku ngapi ili niweze kuendeleza na kazi zangu za ofisini nipo katika shirika la mtu binafsi...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
Habari za saa hii wapenda afya, Kabla hatujaanza unatakiwa kujua kuongezeka uzito ni nini pia ni wastani upi sahihi wa uzito (body weight) katika mwili wa binadamu kulingana na urefu wake (BMI)...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Mk Doctor wa JF naomba msaada wa kitaalum hivi ni hali ya kawaida kwa mtoto mdo wa ambeye hajafikisha mwaka mmoja kuwa anatokwa na jasho akiwa amelala hata kipindi cha baridi. Kuna madhara...
0 Reactions
9 Replies
37K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele sehemu ya kifuani mpaka shingoni hasa kipind cha mvua zinapochachamaa, nikila vyakula vya baharin pezwa au samaki wadodo wale, ama nikipitiwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Heshima Kwenu Wadau. Nasumbuliwa na tatizo linalosumbua akili yangu sana. Mke wangu anawashwa sana mwili wote na hasa maeneo ya Paja la upande wa kulia kwa juu karibu na maeneo yake Mahsusi hali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama uemgundua nywele zako zinanyonyoka, usi panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ). Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako...
3 Reactions
1 Replies
9K Views
Jf doctors,hivi mkojo kukosa ladha kuwa na ladha ya maji (test less) ni sawa?Au ni dalili ya ugonjwa gani?
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Baada ya kuzulumiwa na mtu ambaye alikuwa karibu sana mimi, nimekuwa mtu hasira na woga sana , nawaogopa mpaka marafiki zangu, pia imefikia hatua mpka nataman kujinyonga. Naomba msaada wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom