Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini wadau, Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach...
7 Reactions
141 Replies
18K Views
Habari wadau, Nilipata tatizo la kukojoa mara kwa mara na mkojo ukawa unauma kiasi ya kwamba nashidwa hata kuuzuia( yaani hata kama niko barabarani ni lazima nitafute sehemu nijisitiri vinginevyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wataalam naomba kuuliza hivi kuna nini kinatokea ukiweka simu karibu na tumbo ? Mimi nina vidonda vya tumbo. Nikiwa na muda wa kuchati napenda kulalia mgongo halafu nanyanyua miguu juu na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum nimekuja ili kupata msaada au ushauri...... Nimekuwa sifurahii tendo la ndoa takriban mwezi hivi sasa na hii inatokana na Mke wangu kuugulia maumivu makali chini ya...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Si ajabu sikuhizi ukienda hospitalini kuambiwa una UTI baada ya kupima mkojo. Habari hizi zimenishtua kidogo kwasababu Sasa imekuwa kama ni biashara Fulani hivi kuhusu UTI. Ma Doctor wengine...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Mimi nina tatizo mfano nafanya tendo la ndoa huwa sperm zangu zinaambatana na damu huu ni ugonjwa gani naomba msaada?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,naombeni ushauri kwa hili nina mwanangu leo ni siku ya pili tokea azaliwe na mama yake maziwa hayatoki na mtoto muda wote anaishia kulia kwa kuhitaji maziwa na huwa...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
Habari za jioni ndugu! Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe! Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa...
1 Reactions
66 Replies
21K Views
kwa yeyote anayefahamu hili tatizo nitalitatuaje naomba anisaidie kama unafahamu mahali popote ambapo naweza kupata tiba naomba vilevile uni PM! tatizo lenyewe ni hili miaka kadhaa iliyopita...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Mke wangu ana ujauzito wa miezi 7. Juzi tulikwenda kufanya manunuzi ya vitu kama vile vitenge,kanga na baadhi ya vyombo lakini yote ni maandalizi ya kumpokea kijacho. Tupo...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Salaam wanaJf Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh Si mnajua yale...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Inasemekana mtoto mdogo baada ya kuzaliwa mda wa kitovu kukatika ikitokea kikadondokea sehemu zake za siri na kama jinsia ya mtoto ni ya kiume basi atakuwa ni hanithi maishani mwake na ikitokea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike. Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
2 Reactions
74 Replies
6K Views
Habari za saizi wakuu, Ni matumaini yangu mpo salama, Naamini kuna watu humu wamewahi kuachwa au kuachika kisa kuwa na tabia ya kujikojolea kitandani wakati wa usiku, Baadhi ya wanandoa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
habari ndugu zangu, mwanangu anamwezi mmoja na wiki tatu. Shida ni kwamba analia sana akiwa anataka kucheua analia sana nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala..!!! Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam. Licha wengi kutozingatia umuhimu wa kulala...
10 Reactions
71 Replies
13K Views
hi guys, am bow legged waswahili wanasema matege na wananzengo wanaita banio. njia gani naweza kutumia madaktari kama mnajua ili ni correct hiz bow legs zangu hata kama si kwa asilimia mia. am...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu. Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu. Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua...
6 Reactions
182 Replies
12K Views
Wakuu naombeni msaada ni muda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Back
Top Bottom