Baada ya ya kujua vya kula vya carbs (wanga) na protein katika threads za nyuma,leo tunasonga mbele kuzungumzia lipids kama aina ya mwisho ya macro-nutrients.
Lipids: ni vyakula vyote vya mafuta...
wakuu habari zenu
Kuna Rafiki wa kike wa rafiki yangu amepata tatizo la kubleed kwa wiki mbili mfululizo. Nikamuhoji rafiki yangu imekuaje akapata tatizo hilo akasema kuwa alimpa dawa ya kuzuia...
Habari zenu madokta na msio madokta.
Week kadhaa zilizopita niliamua kujitoa mhanga na kwenda hospitali kupima HIV.
Nilienda kwenye vituo vya Angaza,maana nikitaka walau nipate na ushauri na...
Juzi jumapili mtoto wangu wa kiume miaka 12 akawa analalamika kichwa kinamuuma upande mmoja tu kushoto kama amegongwa na kitu, kwa kweli hali yake ilikuwa mbaya mpaka macho yakawa mekundu na sura...
Mke wangu amepima hospital akakutwa mtoto kakaa vibaya, na docta alisema kuna hatar ya kufa mama au mtoto, na alimshaur ma mkwe aende kwenye tiba asilia, naomba mwenye utaalam kuhusu hili...
Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:-
Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli?
Ahsante...
Habarini wana jf! Mery xmass! Wakuu nina mpnz wangu ambae kwenye mfumo wa Mp hana specific time ya brid, yaani tarehe zinabadilikabadilika, mfano mwezi November alipata siku zake kuanzia tar...
Wanasayansi nchini Marekani wamebuni tumbo bandia la kutengeneza ambalo katika siku zijazo linaweza kutumiwa kuwekea watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao, maarufu kama njiti.
Kifaa hicho ambacho...
Hello Gentleman and ladies,
Nilikuwa na tatizo la kutokupata usingizi ,katika kupitia pita JF DOCTOR nikakuta na uzi kuhusu kikombe cha maziwa moto na kabla ya kulala kinasaidia kukupa usingizi...
Za masiku enyi wananchi!
Straight to the point kuna mdada anateseka sana na tatizo fulana ambalo kwa mda sasa na linamkosesha raha ya maisha especially ktk aspect nzima ya MAHUSIANO YA KIMAPENZi...
Habari wakuu,
Naamini ni wazima wa afya.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Ndugu zangu, nina miaka kadhaa tangu 6/2012 nimuoe shemeji yenu, tumekuwa tukihangaika kupata mtoto lakini...
JITIBU MWENYEWE
KUONDOA NUKSI,MIKOSI,MABALAA,FITNA NA HASADI
~Ogea chumvi ya mawe tia vidonge7 kwenye maji,baada ya hapo jifukize unga wa arkisusi kwa siku 14 utaona maajabu In shaa Allah...
Habari wanajamvini...
naomba msaada kwa hili ... hivi unaweza kujua unamimba ndani ya siku 13? Au nimewahi kupima?? Maana UPT unaniambia negative? Au nisubilie wiki ingine zaidi???
Naomba...
WanaJF habarini za leo,,
Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya...
Habari wana bodi,
Mke wangu ana tatizo tukifanya mapenzi sasa akiwa anakojoa huwa anazimia na kutetemeka kama nusu saa hivi sielewi nkimuuliza anasema huwa anapata raha ya ajabu, sasa sijui hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.