Hello waungwana nimeandika Uzi kwa lengo LA kupata msaada kwa rafiki ambaye amekuaa na tabia ya kusinzia darasan pale mwalimu anapofundisha ,haijalishi ni kipindi cha asubuh ,mchana au jion, but...
Habar zenu
Mimi ni kijana umri miaka 29 Male tatizo kubwaa linalonisumbua nikiwa katika mechii(sex) lile bao la pili naishia njiani hamu yote inapotea na dushe linasinyaaa
Msaada wenu Tafadhali
Naomba kuuliza!!
Hivi ni kwanini mtu akienda haja kubwa(kunya) anapo anza hicho kitendo ni mpaka akojoe yani mavi na mkojo hutoka pamoja?
Na ukienda kukojoa Huwezi toa kinyesi pindi unapokojoa...
Uke kuregea ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke hali hii husababisha Uke kuregea (Kutepeta). Maranyingi wanaume wenye wake au wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulio regea hua...
Nahitaji kupunguza tumbo tuu, kuna uzi nilisoma huku wa kunywa maji ya moto asubuhi, nafanya hivyo kila siku ila wengi naona wananishauri kuruka kamba, nina siku ya 3 naruka 130/150 ila hili la...
Wakuu heshima yenu kwanza .......
Mm napenda kujua nn chanzo cha kukosa usingizi ukiachilia mbali ntu kuwa na stress/mawazo mengi
Je madhara yake ni yap? Na tiba yake nn?
Maana hta mmi ni...
MBEGU ZA MABOGA HUONGEZA NGUVU ZA KIUME,SOMA FAIDA KIAFYA ZA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA.
Mbegu za maboga zina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Mbegu za maboga zimethibitika...
Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu...
Jamani naombeni nielimishwe..
Mayai ya kuku yenye kiini cheupe. Je, ni salama kwa mlaji na ubora wake ukoje?
Sababu unachemsha yai kiini cheupe kabisa na ukikaanga yai lote jeupe. Hakuna unjano...
Kuna ndugu yangu anaumwa sana hapa Muhimbili. Anatapika sana damu mpaka inapungua sana na kupelekea kuongezewa.
Ametibiwa sana vidonda vya tumbo na hali yake inazidi kuwa mbaya. Baada ya kupima...
Mwili una mifumo mbalimbali ambayo hushirikiana kwa karibu katika ufanyaji kazi. Mara nyingi matatizo katika mfumo fulani huweza kuonekana katika mabadiliko kadhaa ya kimwili ambayo huweza...
Wakuu umri ni 28
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo...
Wasalaam Wakuu,
Mama ana mtoto wa miezi 4 tangu ajifungue lakini anaupungufu wa maziwa, kwa maana hiyo mtoto hashibi.
Kawaida hospital inashauriwa mtoto anyonye maziwa ya mama pekee bila...
Ndugu zngu wana jf napenda kuwatangazia kwa wale wote wenye tatizo la ugonjwa wa ngoz,mba na minyoo bas hii dawa ndo komesha ni dawa asili ambayo inasaidia kuondoa tatizo kwa haraka hvo bc...
Habarini....Kwasasa kuhusu Tiba...Mambo yamebadirika....Clinical Medicine inaanza kupotea kwa Kasi na Clinical Imaging inakuja kwa kasi sanaa...!!! Hapa naamanisha kuwa Ukienda hospitalini vipimo...
Wanajamii forum,naomba mnisaidie kuna jambo linanitatiza,Je ni sahih kufanya mapenzi na mama anayenyonyesha!
Kwa sababu kuna mila(kwa sababu sijapata ushahidi wa kisayansi) zinasema kuwa endapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.