Wakuu ni matarajio yangu kuwa ni wazima!..
Nina swali laniumiza sana kichwa huu ya Yale mafuta yaliyomo ktk condom.Swali langu ni juu ya chemical content ya Yale mafuta...Nimeshawahi kuwauliza...
Wakuu naomba kujuzwa kwani siku hizi nimejenga tabia ya kuamka
alfajiri na kukimbia kilomita 10 mpaka 20 na leo ni siku ya nne. Je iwapo
nimetoka kwenye tendo la ndoa muda huo naweza kuendelea na...
Je, muda gani ukipima maambukizi ya HIV utapata majibu ya uhakika maana wengine wanasema mara tatu yaan kila baada ya miez mitatu mpaka ifike mara tatu ndo unapata uhakika, NISAIDIENI DR.
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya. Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado. Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje...
Habar zenu wanajukwaa Naomba kujuzwa athar zakwenda chumvini AU hakuna athar yeyote ?? Nakama zipo ni zipi? Maana shemejii yenu bila kumfanyia hvy nisawa na bure kabsaa hafiki kilele
Napenda...
wakuu, mimi na mkw wangu tumekuwa tukitafuta mtoto kwa mwaka wa pili sasa blila ya mafanikio. Tunafikiria kuonana na dactari atakaye tushauru nini cha kufanya pamoja na kutupima. Msaada wa jina la...
_UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_
Katika mwili wa binadamu kuna vichocheo aina ya _Testosterone_ ambavyo hutolewa kwa malengo ya kuimarisha utendaji kazi wa ubongo,ufanye kazi katika hali...
Wapenzi wana jamiii, nimeona kwenye thread zilizopita watu wengi wakionesha kusumbuliwa na tatizo la fungus sehemu za Siri pamoja na mba wa kwenye ngozi (sio kwenye nywele). Nimeona ni bora kushea...
Jaman naomba kuuliza hv inaweza kuwa kweli kuugua nakupata dalili zinafanana na ukimwi na apime kila baada ya miez mitatu mara nne namaanisha mwaka mzima na matokeo kila kupima ni negative (HIV...
Wasalaam
Niende moja kwa moja kwenye topiki. Iko hivi wanaJF kuna binti anasumbuliwa na kauvimbe kwenye eneo la nje la uke kwa chini kidogo.
Uvimbe huu ni kama kaupele na upo ndan ya ngozi...
Nilianzisha uzi huo nikiwa nahitaji msaada wa mawazo kwa wadau ila ni watu wawili tu walo changia
Sa nashindwa kuelewa ni wataalam hawapo ama kuna namna natakiwa kufanya kubust topic yangu...
pregnancy. Mbali na hilo, mwanamke hupata maumivu sugu kwenye nyonga na ugonjwa wa mifupa arthritis aina ya Reiters syndrome.
Vilevile, Chlamydia huweza kusababisha ugumba kwa mwanamke kama...
Baada ya hekaheka ya muda mrefu, hatimae sala zetu (pamoja na wana-JF) zimeleta mwanga. Jamaa yangu amepata msamaria wa kumsaidia na kwa uchunguzi wa awali - mambo ni mazuri.
Niliweka imani yangu...
Wadau,
Mimi na familia yangu ya watu wanne kwa muda wa wiki tatu sasa tumekuwa na tatizo la kuwashwa mwilini . naomba msaada wa kunijuza nini inaweza ikawa sababu ya tatizo hili na kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.