Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada maelekezo jinsi ya kuongeza CD4 kwa mtu zilizomshuka.
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Mpaka naandika hii post, nina siku kama nne sipati choo. Nimejaribu kula matunda ila bado, Msaada dawa gani au chakula gani naweza kutumia ili nipate choo laini.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Saikolojia ni moja ya Sayansi muhimu sana inayohusika na Ufahamu wa binadamu pamoja na akili... Ubongo wa mwanadamu ni kiungo kiomoja very complex... Ubongo huo huo unaweza ukamuwezesha mtu, kuwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Hili tatuzi linekua likinisumbua kwa muda mrefu yani nikiwa kwenye gari naanza kupata kizunguzungu na maumivu ya kichwa hali hii inanifanya nichukie kusafiri. Hii hali ikoje wadau?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu !bila kupoteza mda nijikite kwenye mada nimekuwa na tatizo la ngozi yangu kutokurleweka kwa mda mrefu ikiwemo kutokuwa na specific colour Mara mweupe Mara mweusi Mara...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wana jf napenda kufahamu kama kuna madhara yoyote kiafya mtu anaweza kupata kwa kunywa maji ya mvua.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Huyu mzee ni msaada wa taasisi ya umma. Kama mnavofahamu umri wa 65+ unakula na mengi. Ilikuja kugundulika mzee ana mamtatizo ya mapigo ya moyo na kisukari. Kwa ushauri wa daktari matatizo haya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari, Naomba ushauri au tiba kwa sikio langu la kushoto lina wiki sasa halisikii vizuri yani lipo kama lina maji kwa ndani lakini halina maji nimejaribu kulisafisha kwa pamba halina uchafu...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu kifaa kinachotumika kupimia *Tympanogram* naweza nikakipata hospitali gan, gharama zake zikoje na je kama wanapokea bima nijue pia maana nilipata ajar sikio...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Khabari wana jukwaa. Nina tatizo nikikaa nimetulia kuanzia dakika mbili au zaidi kidole (kidole kidogo kabisa au iinachofuata) cha mkono wa kushoto kinachezacheza, Hamna maumivu, imeanza kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nini madhara yakutofanya mapenzi kutoka uzaliwe hadi kuwa na umri wa kama miaka 24? Nisaidieni wajuvi wa mambo haya.
0 Reactions
11 Replies
985 Views
Habarini wakuu Mwezi January 2017 mke wangu aligundulika na tatizo la molar pregnancy akafanyiwa evacuation. Then akaambiwa awe anapima kiwango cha HCG Kwa muda wa miezi 6-12 Zoezi likaanza chini...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Ijumaa kareem wana MMU, Hivi nisababu gani inaeza sababisha mwanamke asitoe yale maji maji ( lubricants) yanayosababisha dudu liingie vizuri na kiulani pangoni bila kuumizana? Ni hivi kuna mdada...
1 Reactions
173 Replies
25K Views
Eti wataalam wa J.f naomba mniweke sawa hapa kilo zangu ni 67 huu mwaka wa Tano haziongezeki wala kupungua....naomba kama kuna mtu imemtokea hivi aniambie ili nijue au zimestack ,Afya yangu ni...
1 Reactions
5 Replies
887 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu namiini mko salama Baba yangu mzazi ana tatizo ya kwamba akiumwa mafua basi damu huwa zinamtoka nyingi sana puani, hata sasa ninapoandika haya basi damu ndo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Wadau naomba msaada, vile vipimo vya kujipima mwenyewe HIV naweza vipata wapi. Nimejaribu kuulizia pharmacy nyingi hawauzi.
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Nina mzee wangu kanipigia simu anasema akitaka kukojoa mpaka ajikamue sana na mkojo unakuwa kama hautoki then anapata maumivu makali sana na anajiskia kukojoa mara nyingi kiasi ameshindwa ata...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Kama sio Jana au Juzi nilileta uzi hapa kuomba msaada dawa ya kuondoa maumivu kwenye dushelele baada ya kufululiza kumgegeda demu wangu. Cha ajabu hadi sasa mashine inasimama ovyo...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom