Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina muwasho kwenye shingo ya uume na uvimbe kwenye kichwa cha uume
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Habari wana jamii... Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku. Nifanye nini ili kurudisha weupe wake?
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Hello jf doctors... Naomba wajuzi wa hili likipimo wanijuze, na gharama zake zipoje na hospital gan wanakipima kwa ufasaha zaidi.. Akhsanteni
1 Reactions
13 Replies
4K Views
habar wana jf naombeni msaada ninakijana wangu anaumri wa miaka 13 anakojoa sana kitandani nini tatizo?jenini matibabu yake?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jumapili njema kwenu wote
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Nini maana yake hii? Najiuliza Kalogwa? Ni mchafuko wa damu? Na kinaponaje hiki kidonda? Nini chanzo chake, maana jamaa anatoa harufu mbaaaya mwaka wa sita sasa.
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Ili ni jambo jipya Tanzania tumepata bahati ya kuwa nchi ya kwanza Africa mashariki na kati kuweza kupata huduma ya moyo online. iMMi life ni platform ya cardiologists duniani wanapokea kipimo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habr jf kama kichwa cha hbr kinavyojieleza. Nasumbuliwa na jino je kuna dawa ya jino wanang!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Mama analalamika mgongo kama unawaka moto, kuna dawa yoyote ya asili ya kuweza kumaliza adha hiyo. Asanteni!
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Tende (dates) kwa lugha ya kitaalamu (botanical name huitwa Phoenix dactiylifera, wahindi huita khajoor. Ni tunda lenye faida kedekede kiafya, tende zimetunukiwa viambata muhimu kama dietary...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau,naombeni msaada wa jinsi figo inaweza kuuzwa,Nina rafiki yangu ana uhitaji wa kuuza figo,pia contact zake ni 0658008481 au 0625888448,msaada wenu tafadhali
0 Reactions
12 Replies
984 Views
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu kuongeza muda wa kubadilisha cheti cha njano ya Homa ya Manjano, isome hapa chini; Tarehe 24 Novemba 2016 Wizara ilizindua Cheti kipya cha Chanjo za Kimataifa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naombeni ushauri au hata dawa kama zipo nimekuwa MSAHAULIFU sana naweza kusoma jambo mfano Kuwe na jina la mtu au kitu baada ya muda nasahau lile jina ila stori naikumbuka
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu, Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku. Mimi nina kawaida ya kula ndizi...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Sorry wakuu, hivi ninaweza kutumia slide culture kwa bakteria kama ambavyo inaweza kutumika katika fungal culture especially kwa molds ( ambapo inaonesha fruiting bodies na kufanya kuwa easily...
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Kwanza nawasamehe wote mtakaonitukana na kunikebehi katika hili jambo lililonipata. Wakubwa, niliingiwa na tamaa ya kukuza (kurefusha umbile langu ili niwe nawakomoa wanawake) hivyo nikaingia...
3 Reactions
73 Replies
21K Views
Jamani nataka kufanya full body massage hapa DSM wapi sehemu powa ? Napenda always kusaidia wajasiliamali so kama kuna mtu anajua dada anayefanya shughuli hizi ni pm
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Habari zenu, nliwahi kusikia watu wakiongea kwamba maji ya bahari yana faida kiafya ukiogelea na pia Nimeona watu wakihangaika kuchota na vibubu vyao. Je kuna matumizi yake spesho?
0 Reactions
11 Replies
15K Views
Nina tatizo moja ambalo siloelewi chanzo chake ni kwamba nikiwa nimelala au nimekaa au hata nimesimama(sometimes) halafu nikajamba ile hewa inaingia ukeni halafu nikisimama inatoka kwa kasi kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jf..!! Ndugu zangu kuna jambo naomben msaada wenu huku kwetu wamasai wamekuja kwa wingi sanaa,,, eti wanauza dawa aina ya mitishamba ambazo zinafanya kazi ya kutibu mambo mbalimbali...
0 Reactions
7 Replies
981 Views
Back
Top Bottom