Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau naomba msaada wenu kwa mtu aliyepata na Ischemic stroke je anaweza akapata tatizo la kama degedege au kama kifafa? Maana mgonjwa wangu amepatwa na hiyo hali ni kama vile wakati mwingine...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Naomba niulize wenye ufahamu wa kina. Mfano mwanamke aliebeba mimba 01-01-2016 na kujifungua 14-01-2017, hiyo hali ni ya kawaida? Maana nasikiaga kwamba ikizidi miezi tisa lazima operation ifanyike.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
naomba kujuzwa juu ya delusion disorder pia kama kuna psychiatrist yoyote naomba anisaidie juu ya tiba ya tatizo hili. asanten
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wakuu Kabla sijajiunga na JF Nimekua nikipitia nyuzi mbali mbali hapa jamii forum kwa kila jukwaa na pia niliona nyuzi mbali mbali kuhusiana na kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na...
4 Reactions
190 Replies
40K Views
Habari za asubuh wakuu... Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo. Nina girlfriend wangu ambaye huwa anatokwa na maziwa ninaponyonya chuchu zake zaidi ya dakika flani, mwanzo nilijua ni...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Hellow, Mambo vp, Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
You All Have Heard Of Crazy Disease Like Ebola,And Swine Flu That Have Been Known To Spread Like Fire.But What About Those Rare ,Extreme And Strangest Medical Conditions.Of Thousands Of Medical...
2 Reactions
2 Replies
705 Views
Bila kupoteza mda wala wakati wataalamu. Wataalamu kusumbuliwa na muwasho mgogoni wakati ninapohisi joto yani mwili ukihisi joto hali kwangu ni mbaya sana yani nawashwa na vipele vidogo vidogo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
10 Surprising Foods That Kill Your Sex Life If you are not able to perform at your bed, then you and your partner are in from the worst sex session of your lives. There are a lot of...
2 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari wana jamii forum, leo najitokeza kwanu wadau ili mweze kunisaidia tatizo nilonalo. Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza pata mtu aliewahi kua na tatizo kama...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF wenzangu, Kuna hili tatizo la nguvu za kiume limeonekana kutusumbua sana sisi wanaume. Mi napenda nieleze tiba mbadala mbili tu ambazo zinaweza kumsaidia muhanga ambazo ni mazoezi...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Za saizi wadau Kiukweli kwa muda sasa usiopungua miezi sita nimekuwa na tatizo la nguvu za kiume. Yaani naposhiriki tendo bao la kwanza ni chap tu nimemaliza afu inachukua muda kama dk 20 ndo...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Mambo zenu wakuu...naomba mnipe njia mbadala zakupunguza tumbo kwa mwanamke bila mazoezi..maana mke wangu hataki kabisa mazoezi
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna rafki yang mmoja anaugonjwa wa kichocho Miaka 6 sasa Lakn kila akifkilia swala la ktmia dawa anachkulia poa naksema ntatumia tu Sasa nataka tujuzane je itakua inamadhara sana kwa mda alokaa nao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MAAJABU YA MIMBA HONGERA KWA KUPATA MIMBA PART -1 Hongera Kwa Kupata Mimba! Ujauzito ni mojawapo ya nyakati za ajabu na kufurahisha sana, kumkamilisha mwanamke katika maisha yake...
1 Reactions
16 Replies
96K Views
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae...
6 Reactions
89 Replies
8K Views
Doktari wa kitengo cha dharura (Detroit emergency room), Jumana Nagarwala mwenye umri wa 44 anashikiliwa na makachero wa FBI kwa tuhuma za kukeketa mabinti wawili walio na umri chini ya miaka 8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua je kupima mirija kama imeziba au la,ya kupitishia mayai ya uzazi ya mwanamama. Je mirija hupimwaje? Pili je kupima mbegu za kiume,nazo hupimwaje? Mbegu zipi nzuri,za kuchua...
0 Reactions
4 Replies
18K Views
Wadau salam, Mimi ni mwembamba saaaana, kuna shughuli nataka kuifanya but mtu mnene anaitajika so nataka kupata dawa nijinenepeshe for special job. Kama unazijua dawa hizo plz naomba msaaada...
0 Reactions
49 Replies
29K Views
Jaman nna tatz wana jamvi maskio yngu yanatoa uchafu wa majimaji alafu una harufu mbaya
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom