Wanajamiiforums Mrs anableed mwezi wa pili sasa tokea apate ujauzito na ni kitu ambacho si cha kawaida msaada wenu wapi nitapata tiba nzuri tuko mwanza.
Wakuu habarini,
Mimi siyo mtaalamu wa AFYA bali ni mdau tu wa Afya. Leo napenda kuwakumbusha ndugu zangu tuwe na utaratibu wa kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
Ahsanteni natumai...
Wiki kama moja niliomba msaada kuhusu ugonjwa nashukuru mlinipa ushauri na niliutendea kazi vizuri sana kwani nilienda hospitali nikapewa dawa nikaanza kutumia nashukuru Mungu nilipona ila wakati...
Wana jamvi naomba msaada,
Miaka yote mkewangu alikuwa anakula samaki na dagaa ila ghafla imetokea siku moja dada wa kazi alipika dagaa ss sijui ilikuwaje mkewangu alipokula tumbo lilimsubua hadi...
Habari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi...
Hodi wanajf, kama kichwa cha taarifa kinavyojieleza. Napenda kujua nini huwa tatizo kwa baadhi ya watu kushindwa kula nyama kama ya mbuzi na ng'ombe, na endapo watakula basi hupata matatizo...
Habari za jumapili wana jukwaa. Kwa wale walio wakristu nawatakia maandalizi mema kwa kuanza juma kuu ikiwa leo ni jumapili ya matawi na jumapili ya mwisho ya kwaresma kuelekea sikukuu ya Pasaka...
Toxic chemicals used to fireproof sofas and mattresses have caused a surge in thyroid cancer, experts warn.
Flame retardants are feared to be making families ill after being exposed to them...
Habari za muda huu wakuu?najitokeza kwa upande huu ikiwa ni mara yangu ya kwanza nauliza hivi..nikipindi gan hasa mama aliejifungua anaweza kushika ujauzito?
Nipo kwenye contradictinlon kubwa...
Do you know people with physical disability can get a walking assisting devices here in Tanzania?
This called orthopedic technology services are available, although at few health facilities.
The...
wakuu heshima kwenu, nina miaka 30 sasa, tatzo langu ni kuwa toka utotoni ulimi wangu una mipasuko haupo smooth kama kwa watu wengine! sipati maumivu yeyote, nilikuwa najiona kuwa ni kawaida tu na...
Salamu.
Naomba anayejua namna au sifa za kuanzisha kituo cha afya cha binafsi anijuz.
Hapa nataka kujua hasa sifa za kielimu na uzoefu.
Asante kwa yeyote atakaye nisaidia Mungu awajaalie.
Msaada jamani mke wng ameanza kusumbuliwa na tatizo la presha ya kushuka takriban wiki ya tatu sasa,Mara nyingi uhisi kichwa kuuma sana,hivyo alishauriwa awe anakunywa coca cola au kahawa,na yeye...
Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia.
Hapa...
Salamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa...
Salaam waungwana
Jamani mwenzenu nasumbuliwa na maumivu makali mwilini
Jana nilienda hospital kupima Malaria na Typhod lakini vyote hivyo sikuwa nasumbuliwa navyo lakini bado mwili waniuma vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.