Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hallo wanajukwaa!kama tunavyojua Shinikizo la Damu(Hypertension) Haiwezi kutibika kabisa Zaidi ya kufuata Kanuni za Afya kama vile Ulaji mzuri,Kupunguza Chumvi&Mawazo,Kufanya Mazoezi na Pia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kupata msaada wa namna ya kuondoa mba mwilin
0 Reactions
9 Replies
5K Views
"Uke bora ni Fahari ya Mwanamke na Furaha ya Mumewe" Uke bora hautoi harufu mbaya, hauna fangasi si mgumu wala mlaini, una majimaji kiasi na pia una uchumvichumvi ulio wa kawaida. Uke bora ni...
7 Reactions
9 Replies
11K Views
Hivi kuna ukweli wowote juu ya hawa Maoskofu kuwatibu watu virusi vya H.I.V mara nyingi nimekuwa nikiwashuhudia watu wakidai kuwa walikuwa na virusi na baada ya maombi wakapoa kabisa!
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba kujua kwa kipande hiki cha picha je mtoto hapo anakuwa ameathirika au sijaelewa vizuri msaada
0 Reactions
13 Replies
5K Views
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13. Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida. Baada ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Wataalamu naomba mnifafanulie hapo picha ndio hiyo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heri wana jukwaa, Nina swali la kuuliza.Ile damu ya hedhi ya wanawake, 1. Ina uhusiano wowote na damu ya mwilini? Maana wengine inatoka mpaka unamhurumia,namaanisha kama ikitoka sana hawezi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu zangu Wa JF naomba msaada kwa ambae nafahamu juu ya hili. Mtoto wangu alikuwa anaumwa na Sikio,lilikuwa likitoa Usaha,March 13 tukampeleka kwa Doctor akampatia Dawa,moja ya kuweka kwenye...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
0 Reactions
3 Replies
705 Views
OKOA MWANAMKE ASIFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE(kufirwa). Tuwasaidie wanawake wanao lazimishwa na waume zao au wachumba zao kufanya ngono kubwa(kinyume na maumbile), kwani wengi wanapata...
15 Reactions
42 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF, poleni na majukumu. mimi nasumbuliwa na tatizo la fungus kwenye mfuko wa korodani, kwa anaejua tiba naomba anisaidie.
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Habari wanajamvi Leo wkt nipo job kuna rafiki yangu aliniambia kwamba toka Jana uume umesimama na anapata maumivu makali, nini chanzo cha hilo tatizo? UPDATE Kuna MTU alimshauri akajimwagie maji...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habar za mda huu wanajamv, naomba msaada....., huwa napata maumivu makal baada ya kumaliza tendo la ndoa , mwenye kufahamu hali hii inasababishwa na nn anisaidie
1 Reactions
12 Replies
3K Views
naombeni kuwauliza wakuu. Weusi wa kwapani unasababishwa na nini na unawezaje kuuondoa?? Asanteni.
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Ndugu zangu, Kuna tatizo mimi limenipata juzi, wakati najaribu kuinua mzigo dukani hivi kutoka chini kama wa kilo 15 hivi, nikasikia kitu mgongoni kama kimechoma hivi, basi tangu hapo mgongo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza.Nataka kujua na muda wanaopatikana, kama kuna foleni sana pia si vibaya nikajua na gharama zao.Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu...
4 Reactions
62 Replies
20K Views
Wataalam wa madawa ya miti shamba na mizizi waje hapa wanithibitishie hii ni mizizi ya nini na kazi yake gani?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom