Wakuu.
Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?
Asante
Habari zenu wanabodi,
Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa napenda sana kuwa peke yangu. Iwe kazini, shuleni (nasoma chuo), kwenye sherehe, nyumbani au sehem yoyote ile. Hata nikiwa na mgeni home...
Habari za muda huu wana jukwaa la afya!
Kwa wiki kama mbili nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la mafua,baada ya kutumia dawa aina ya Piriton(mafua yamepoa),lakini hivi karibuni kamasi zimekuwa...
Mmeamkaje wandugu usiku mzima leo sijalala kwa raha kutokana na maumivu ya jino, jino lenyewe limetoboka. Ushauri wenu nikienda kuliziba maumivu yataisha au nikaling'oe tu?
Mtu mwenye VVU ambaye tayar anatumia dozi anaweza kufanyiwa utrasound ya tumbo ama yoyote ile?maana kimtaani wanasema utrasound inapunguza siku zakuishi.
Habari
Mi na mrs tunatumia kalender method kama njia ya uzazi wa mpango, tunamwaka sasa tukitumia njia hii kwa ufanisi.
Changamoto:
Hivi Karibuni siku zake za hedhi zimekuwa zikibadilika badilika...
Habar ya mchana ndugu zangu. Naomba kufahamu inachukuwa muda gani tangu mwanamke ajifingue hadi anapoanza tena ovulation. Au ni muda gani tangu mwanamke ajifungue unapita hadi pale anapoweza...
Mmeamkaje wandugu usiku mzima leo sijalala kwa raha kutokana na maumivu ya jino,jino lenyewe limetoboka.Ushauri wenu nikienda kuliziba maumivu yataisha au nikaling'oe tu?
Nimeangalia chombo kimoja cha habari leo kati ya habari zao leo ni Vifo vya watu 200 kutoka Nigeria vikiwa vimesababishwa na Homa ya uti wa mgongo(meningitis)
Meningitis ni Ugonjwa unaoshambulia...
NAMNA YA KUKABILI HARUFU MBAYA YA MIGUUNI.
Ukigundua una tatizo hili, hakikisha unasafisha miguu yako mara kwa mara ukiiacha mikavu muda wote ili kuepusha unyevunyevu.
Miguu kutoa harufu mbaya...
Jana mdogo wangu kaleta hii soda. Akawa ananishawishi niionje na akanieleza kwamba sio kama soda za tonic water nyingine. Hii ni tamu.
Nikaona niisome ingredients zake. Nkatekewa kuona kwinini...
habari jamani kwa nn vijani hatupigi story jinsi tunavyo zitumia condom na kwa nn tunasimulia tunavyo pata madem......je kuna picha gani hapo jicho la 3
Wakuu habari zenu,mimi ni mwanaume.nimekuwa na tatizo la kutokuwa na nywele nyeusi zilizokolea vizuri.nywele zangu zinakuwa na rangi kama nyekundu vile so zimekuwa zikininyima raha.sasa wakuu...
Habarini wana Jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza napenda kufahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto kupitia mama Mjamzito kabla ya kujifungua tofauti na
ULTRASOUNDS maana mimba bado ni...
Naomba msaada wa visababishi, tiba na namna ya kuzuia. Nimeugua miaka minne sasa natumia dawa siponi. Kila nikienda hospitali napigwa exray na napewa dawa siponi, sa zingine natoa jasho jingi ila...
Wakuu na wataalam wa mambo ya Afya naombeni kujuzwa. Kwa mtu mwenye mke anayenyonyesha mtoto, mume anaruhusiwa kunyonya ziwa la mkewe baada ya mda gani?
Choroko ni zao tunalolitumia sehemu nyingi, wengi tunakula choroko kama kitweo. Kupata ubora wa ziada katika choroko ni kula na kimelea, katika halii hii unapata protein kwa ubora wake. Hii pia...
Em tupeane ushauri kidogo..
Unafanya kitu gan kupunguz hamu ya kufanya mapenzi,??
Naomb kufahamishwa nijue njia safe za kukabiriana na changamoto hii.
maana sasa imeshakua too much..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.