Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja katika mahusiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa nahisi maumivu makali ila baada ya siku mbili...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu habari za w,keend. Wandugu naombeni msaada nasumbuliwa na presha ya kushuka, nina ujauzito wa miezi7 nimeenda hospital nimeambiwa nina presha ya kushuka. Naombeni msaada kwa anaefaham...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Does circumcision affect penis size
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar zenu, mim mara nying najikut matundu ya pua huwa yanaziba na vijidonge donge, vdogo vidogo, vya makamasi vilivyokaukia ndan ya pua, alafu vinakuw vigumu kutok hata ukifanya kama unapenga...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
niko na ugonjwa wa hofu na uwoga na inatokea Mara kwa Mara
0 Reactions
3 Replies
668 Views
Nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniuliza ni nini sababu ya kupata ukurutu kwenye mfuko wa korodani halafu zinamuwasha pindi zinapopata joto na anasema kipinidi anapooga na akizikausha kwa...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Naomba msaada kufahamishwa juu ya madhara ya meno ya plastic kwa watoto wachanga na je kuna ulazma wa kuyatoa?
2 Reactions
12 Replies
24K Views
Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu. Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu...
3 Reactions
89 Replies
12K Views
WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu. Naomba kupatiwa ufafanuzi mimi ni mjamzito sasa kwa muda si mrefu saana nona vitu vinapita kwenye macho kama mistari isiyo na shepu ( eye floaters) nimeenda kwa gyno zaidi ya mara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mzazi mwenzangu anasumbuliwa sana na kiuno ( kinamuuma) na vichomi vya ghafla, nini linaweza kuwa tatizo? Ana ujauzito wa miezi mitatu.
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Habari Jf Hii ni kwa mmililki au anayemfahamu mmiliki wa dispensary, inaitajika sehemu ndogo ya eneo au chumba ndani ya dispensary,, kwa huduma ya specialist consultation ambayo itakuwa kama...
1 Reactions
2 Replies
783 Views
Habari za majukumu wakuu... nipo na tatizo katika mguu wangu (nyuma ya goti) nina uvimbe fulan hv na mishipa kama imevimba hv... huwa panauma nikitembea umbali mrefu, nikikimbia, au nikijamiana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Je, nikweli ukifanya mapenzi unachelewa kupona kidonda
0 Reactions
6 Replies
1K Views
if you love your panties welcome to Pick n pay retail at wholesale prices so that your body can be comfortable n free
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Habari ya mjini ndo hii hapa acheni kutupa watoto ambao hamjawakusudia kuwapata kwa wakati.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habar wanaaMMU!! Naomben msaada kwa anayejua dawa ya mtoto ambaye utosi hauchez nifanyeje ili kuboost utosi ucheze Natanguliza shukran
0 Reactions
16 Replies
29K Views
Salaam wana jf naomba nianze kutoa maelezo kidogo. Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne(4yrs) mwaka wa jana alikuwa baby class na maendeleo yake shuleni yalikuwa mazuri tu. Lakini cha...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Back
Top Bottom