hi kwa wote, naomba kuulizia tiba ya ugongwa unaowapata wanaume ambao unaitwa pearly penile papulace. Kwa kifupi unakuwa na vipele kuzunguka kichwa cha uume na hauambukizi na wala sio ugonjwa wa...
Mimi si mtaalamu wa maswala ya tiba, ila kwa ufahamu wangu nafikiri zipo njia mbali mbali za kupima kama mtu ana maambukizo ya HIV.
Njia ambayo nafikiri tunaitumia sana ni ile ya kupima chemical...
Napenda tu kujua, hivi zaidi ya ule utaratibu wa kupitisha kidole sehemu ya haja kubwa ambao wanaume wengi huwa hatuupendi na kuona kama ni fedheha, kuna njia nyingine ambayo hutumika katika...
Khabar wadau, naombeni msaada, sikio langu limeziba sio maji nadhani ni wax. Nimejaribu kuperuzi sijapata way out sana sana wanasema nisitumie cotton wool na nilichowaza kutumia kwanza..
Mwenye...
Juzi nimepeleka mgonjwa wangu hospital nilifika kwa Dr. Nikamweleza kinachomsumbua mgonjwa nikaandikiwa dawa kwenda dirishani dawa hakuna. Miongoni mwao kuna muuguzi anaduka la dawa akaniambia...
Wanajamv habarin,,,mwenzenu soon nataraji kuitwa baba sasa nimekuwa na tabia kila mara nashika shika tumbo la wife.
Kila mara nataka kuangalia mtoto amekaaje somtimes inatokea nakagusa mpaka...
Habari zenu. Nimefanya mapenz katika siku za hatari ila jamaa alimwaga nje sasa ni wiki imepita naskia tumbo linauma na chuchu zinauma ingawa matiti hayajavimba.
Je inaweza ikawa ni mimba?
Habari wana jamvi!
Naomba msaada kujua wale ma specialist wa magonjwa ya kike wanasoma field gani au mtu akienda diploma anabase kwenye masomo(programe) gani?
(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema)
Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi
Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo...
Kama alivyoagiza Mh Rais tusijadili watu tujadili maendeleo, ktk utekelezaji wa azimio Na kauli ya Rais wetu Mpendwa, napenda nitimize ahadi hio,
Wananchi wengi ktk nchi yetu wanakosa ustadi wa...
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai".
Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la...
madokta wa jf pamoja na wadau wengine hivi nasikia unywaji wa maziwa mtindi na fresh mara kwa mara kwa wanaume unasababisha ugonjwa wa tezi dume naombeni ufafanuzi
Wana Jf naomba mnijuze,
Hivi mwanaume anapo fanya tendo la ndoa na mke akiwa hayupo kwenye siku za kupata ujauzito spam huwa zinaenda wapi, hufanya kazi gani huko zinakoenda na zina kaa kwa muda...
Habari,naomba kujua yafuatayo kuhusu mtoto mchanga
Mtoto mchanga anatakiwa apate choo mara ngapi kwa siku?
Mtoto mchanga anatakiwa aoge mara ngap kwa siku?
Mtoto mchanga kutapika mdomon na mengine...
wanajamii naomben kufaham kitu nna tatzo la maskio tangu mdogo n karbu miaka ishrn sasa lakin hv karbun tatizo limeanza kuongezeka siku hadi siku nmeenda hospital nmepewa dawa lakn haijasaidia ila...
Samahani wana JF Naomba kuuliza kidogo
Kila baada ya siku mbili au moja napendelea kunywa kahawa vikombe 3 adi 4 sasa Tatizo langu kila nikinywa baada kama ya saa 1 au zaid Najiona kama nimelewa...
Habari zenu wana jf
Leo nikiwa safarini kivukoni nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia pesa,
Je kuna athari zozote ambazo naweza kupata kutokana na mgusano huo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.