Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

naomba kufahamu kuhusu constipation and hepatitis uhusiano uliopo kat ya hv vwl
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Ni siku ya nne leo sauti yangu imekauka haitoki na sina tatizo la kifua wala mafua Sikuimba wala sikupayuka Msaada tiba wakuu
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari za leo ndugu zangu, mimi Jana nilimpeleka mtoto wangu hospital akaonekana amepungukiwa damu kidogo kwa mjibu wa Doctor hivo akaandikiwa dawa za kuongeza damu na nikaanza kumpa jana, cha...
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Ni mara tu baada ya kulisafisha kwa kuingiza maji wakat nachukua udhu liliingia maj likaniuma na sasa halisikii.Naombeni msaadan nilitibu vipi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wapendwa Nligundulika nna minyoo na UTI kisha nkapatiwa dawa, bt kabla ya kupewa dawa hzo nlipimwa ujauzito kwani hzo dawa haziruhusiwi kutumia mjamzito ila nlivopima haukuonekana (nahis...
0 Reactions
1 Replies
38K Views
Habari wapendwa, naombeni mnisaidie nligundulika na minyoo na UTI nikapewa dawa lkn kabla sijapewa nlipimwa ujauzito haukuonekana (nahs ni siku chache baada ya kuconceive) ndo nkaruhusiwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu kwema? kuna tatizo linaninyima raha kabisa,miguu yangu kuanzia kwenye magoti kushuka mpaka kwenye visigino inaniuma sana,tatizo hili linanitokea pale nikiwa nimelala tu au nimekaa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu wananchi!! Nina mtoto wangu ambaye ametahiriwa wiki moja iliyopita, jana tukampeleka kwa dokta ili kusafisha kidonda. Dokta akamcheki, kisha akatukabidhi kwa nurse ili amfungue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nini chanzo cha dege dege kwa watoto wadogo. Na dalili zake ni zipi? Huduma ya kwanza ni nini kwa mgonjwa wa degedege?
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, Naomba Msaada Kwa wale ambao wanaofahamu Tiba Au Mbinu zozote za kuzuia Kigugumizi wanisadie maana sasa limekuwa Tatizo Kwangu. Nawasilisha kwenu wakuu.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tarehe za hatari kupata mimba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa. Wakuu nitumie dawa gani?
0 Reactions
9 Replies
19K Views
wakuu nina demu apa nilipiga siku za hatari na bleed akupata sasa zimepita wiki mbili anapima kwa kutumia tuvipimo tule tudogo wanatouza buku,anasema hakuna kitu,je mimba inachukua mda gani hasa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
naomba kujuzwa kuhusu hilo,,Nina mpenzi wangu yeye anaanza period tare 29 na kumaliza siku 4 mbele,,Sasa jana tumefanya kavu (tare 18 ya jana)..Je kuna uwezekano wa kushika mimba?..Naombe sana wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
nilianza kutumikia kama ifuatavyo. mwezi wa kwanza tar 18 nikiwa Iringa, Mwezi wa pili tar 15 nikiwa Tanga na mwezi huu ni tar 16 yaani leo. labda nakosea maana nimejaribu njia nilizosoma hapa...
0 Reactions
51 Replies
28K Views
Too much alcohol is not good for the health as we all know and the body and mind both suffer, but mostly the brain and liver. Alcohol includes wine, beer and liquor too are all depressants of the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi mtoto anatakiwa ajisaidie haja kubwa kwa muda gani baada ya kuzaliwa? maana kunamtoto kazaliwa na bado hajanyonya wala kula chochote lakini kapata choo tena mara mbili ndani...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Facts:Not having enough sex can put you at risk of anxiety, paranoia and depression.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanabodi, Kuna familia nyingi zina matatizo ya uzazi yaliyopelekea kukosa watoto. Matatizo haya yako ya aina nyingi na yanasabishwa na sababu nyingi, mengine ni maradhi tuu ya kawaida ambayo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina kijana mwenzangu rafiki yangu yeye anaishi mbali na mpenz wake na hukutana mara moja moja sana yaan hata miez 4 na kuendelea sometimes but wanapokuwa wawili anakua na hamu na inasimama...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Back
Top Bottom