Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Shirika la afya Uingereza “NHS” limesema hivi karibuni wataanza kutumia Mbwa kugundua saratani ya tezi dume ambayo huwaathiri zaidi wanaume kuanzia miaka 50. Kwa mujibu wa utafiti kwa zaidi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana jioni niliingia Barbershop nikapaka super black; cha ajabu leo nimeamka kichwani kunawasha sana halafu kumetoka vipele vidogovidogo. Kichwa pia kinauma.. Naomba msaada kwa anayejua tiba ya...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Wapendwa naomba kuuliza ivi mtoto anaweza kuzaliwa mwezi wa 7 na 8? Maana huwa nasikia mtoto kazaliwa miezi 6 au 9 tu. Naomba mwenye ujuzi anieleze tafadhari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hivi ikitokea mtoto kachomwa DPT-Heb-Hib paja la kulia badala ya kushoto na PCV paja la kushoto badala ya kulia kuna madhara gan Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu nimeona mimi binafsi yangu nikimaliza kufanya tendo la ndoa presha yangu inapanda, na nikifululiza kuhondomola uzito wa mwili wangu unapungua, sasa ni nauliza kama kuna kiwango fulani kiafya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wandugu, Nimekuwa nachelewa sana kupiss katika tendo la ndoa mara baada ya kumaliza bao la kwanza sijajua hii hali ni ya kawaida kwa wanaume au kuna tatizo linaninyemelea? Maana muda mwingine...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimetokwa na vipele vyekundu mgongoni vikubwa kidogo ghafla tangu majuzi..na vichache sehem ya tumbo ila sasa naona dalili vinaelkea kweny mapaja na homa usiku..kuna doctor nimemuulza nae hana...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
1. MAZOEZI Yanasaidia damu kuflow vizuri hasa sehemu za siri. 2. UTAMBUE MWILI WAKO Hakikisha unaweza kuthibiti excitements zote kwenye mwili wako. 3. FANCY A SQUEEZE. Unapokabia, ng'oa ndufyu...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Binafsi nimetumia dietery suppliments kwa mtoto wangu na imenipa majibu mazuri, so nimeona ni share na wazazi wengine.The suppliment have got chewable multivitamins with phytonutrients... na ni...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Written by Dr Francis Fredrick, MD Imehaririwa na Dr Praxeda Swai, MD, MMED (Daktari bingwa wa afya ya akili) Kwa kawaida huwa ni furaha kubwa isiyoelezeka kwa mwanamke kupata mtoto, na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Samahan Wana jf,,, ninaomba kuelewesha Kama kweli kondomu inazuia mimba na ukimwi,, Karbu
1 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari wakuu, Nimekua natatizo la kifua kwa muda mrefu nikitumia vitu vya baridi nakua natoa makoozi kwa muda mrefu nimeacha lakini hali bado ipo na pafu la kulia kwa chini asubuh linakua linauma...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini zawakatihuu wakuu Kuna jambo linanisumbua takriban miezi 4 sasa Nimekuwa mtu Ninae sononeka Nafsi yaaan moyo unakuwa unauma kabisa Bila kujua chanzo ninini Nilihisi labda tatizo hili...
3 Reactions
55 Replies
14K Views
Wana JF naombeni msaada hasa madaktari au wenye uelewa kuhusiana na hili.mke wangu amepata ujauzito ambao umri wake ni mwezi mmoja sasa,wakati mwaka jana mwezi wa nane alijifungua tena kwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF. Naomba msaada wenu wadau Mke wangu anaumwa Jino na Limechimbika sana hadi sasa, Sasa nilikuwa naomba mwenyekujua Tiba Mbadala ya Jina Kuacha kuuma na kupona kabisa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbr ndugu zangu et ni umri up sahihi kumuachisha mtoto ziwa ikiwa kula kwake ni kwa shida yaan kila kitu kwake ni kibaya zaid ya titi na anaelekea kufunga mwaka
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Nimelitafakari kwa siku nyingi sana hili jambo kwa marefu na mapana yake hasa nikizingatia kuwa sasa tupo katika dunia ambayo Uchumi wake ni mbaya na maisha kiukweli ni magumu kiasi kwamba hakuna...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
habari ndugu wa jf Kwa muda mrefu nimekuwa na tatizo la kusimamisha uume kutokana na punyeto. Ningependa kuuliza kwa wajuzi ni vipimo gani vya hospitali ambavyo naweza kuvifanya ili kugundua...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Nawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom