Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wakuu,nw days naona dawa za malaria zko aina nyingi,ukienda pharamacy hi unapewa hi,ukienda kwngne unapewa nyingine.wnge wanasema tunakupa mseto.sasa suali langu ni ipi nzuri zaidi? Na kwanini...
0 Reactions
28 Replies
31K Views
IV kama umefanya mapenzi na mtu na huna uhakika au umesikia ni muathirka wanasema kuna sindano zina pigwa 72 hrs baada ya kufanya mapenzi,je hizi sindano zina aminika kwa asilimia ngap,na shilling...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu alifanyiwa upasuaji baada ya lazer kushindwa kukamilisha kazi yake,shida ilikuwa ni mikojo haitaki kutoka kabisa,[blocked urine]kwa karibu siku tatu mfululizo,umri wake ni 58,ana mke...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
wadau habari za muda huu..... Mwenye kufahamu hili naomba anisaidie, MWANZONI NLIKUA NA MAUMIVU KWENYE MOYO, YANI YALIKUA YANAKUJA KAMA KICHOMI NA KUONDOKA.....lakini hali hii ikaisha .ILA SASA...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
jamani naombeni msaada wenu kuhusu tatizo langu la uume kuwa mkubwa kila siku iendayo kwa Mungu.Hali hii inatokea wakati sijatumia dawa yoyote ya kukuza maumbile.Imefika wakati sina raha...
0 Reactions
3 Replies
630 Views
Serikali ya Kenya imeiomba Tanzania kuiruhusu kuajiri madaktari kutoka nchini humo ili kujaza nafasi ya madaktari walioingia kwenye mgomo kwa zaidi ya siku 90 hadi sasa. Waziri wa Afya, Maendeleo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
kama mada inavyosema wana jf, nimekuwa nikitoka vipele kila ninapogegeda nikiwa nimevaa kondom nimejaribu kutumia kila aina ya kondom lakin matokeo ni hayo hayo. Wataalam wa afya nawaomba ushaur...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Nina bp ya kupanda na nimeambiwa nisipate large,nishaurini aina ya kilevi itakayonifaa tafadhalini.
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Hata nikipata namba ya mfanyakazi siyo mbaya
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nina siku ya nne sasa kila ikifka jion tumbo linauma,na korodani zinauma sana,anayejua tatizo ni nini anambie na ni nini dawa, nimeenda hospital wamenipa painkiller tatizo hawajatatua
0 Reactions
3 Replies
2K Views
eti mshahara wa mfamasia shilingi ngapi?
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Ndugu wana Jf naomba msaada kwenu Napata shida wakati wa kujisaidia choo kikubwa, napata maumivu makali huku choo kikiwa kimechanganyika na Damu, je! Haya ni maradhi gani na nini Tiba yake?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti...
0 Reactions
68 Replies
18K Views
Huwa ninatokwa na usaa kwenye uume na kusikia maumivu wakati wa kukojoa. Naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone?
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Hi wana jf Naomben mnisaidie hiiv mwanamke anapojifungua na akaacha kuziona siku zake ni tatizo au ni kawaida maana awali alikuwa anaziona kama kawaida lakini baada ya kujifungua hazioni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MAGONJWA mengi hayahitaji tiba. Miili ina njia mbalimbali za kukinga maradhi. Njia hizi ni bora zaidi kuliko kutumia dawa. Magonjwa mengi, kama vile mafua na fluu hupona bila ya dawa. Ili...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Naombeni ushauri jaman, mwanangu WA kiume WA miaka miwili na nusu akishakojoa anatoa maji maji meupe mwishoni, hiyo Ni kitu gani, Jana ndo nimeona hivo, bado hajatahiriwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada vituo vya kupima VVU vinavyofanya kazi siku za jumamosi na jumapili..natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Abarizenu wana jukwaa, heri yamwaka mpya japo hatujaumaliza mwaka ila tunabakiza masaa machachetu. Bila kuchelewa nimekja kuomba tujaribu kumsaidia huyu Rafiki yangu maana alisha angaika sana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika huu Uzi(Thread). Tutakuwa tunazungumzia taarifa muhimu zenye faida kuhusu JamiiForum Herbs-(Mimea pamoja na mbogamboga na matunda). Yatajwe katika Majina yake ya asili,Matumizi yake,Pamoja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom